Kuna aina nyingi za hisia kama hisia za hasira, furaha, hamasa, chuki, na nyinginezo unazozijua. Hisia zote hizi unaweza kuzigawa katika makundi mawili ili uelewe vizuri Zaidi, yaani Hisia Hasi na Hisia Chanya. Hisia zozote zile ziwe za hasi au chanya zinaweza kuwa na madhara kwetu kama zitatufanya tuchukue hatua bila ya kufikiri. Kama utajikuta…
All posts in USIISHIE NJIANI
USIISHIE NJIANI: SIO KWAMBA HUWEZI,
Kuna watu huwa unaogopa kwasababu wanakufahamu kama mtu Fulani mkubwa hivi sasa unaogopa kufanya kazi ambazo unahisi kwamba zitakuwa zinakushushia hadhi? Nilikuwa na rafiki yangu mmoja kipindi Fulani tukawa na wazo la biashara ambalo tulitaka kufanya pamoja. Mara nyingi yule rafiki yangu alikuwa anapenda kusema; “unajua biashara ukifanyia sehemu ambayo wewe ni mgeni ni rahisi…
NILIYOJIFUNZA KUTOKA KWENYE KITABU CHA “THE ART OF MONEY GETTING”
Habari Rafiki Karibu kwenye blogu hii tujifunze pamoja mambo haya NILIYOJIFUNZA KUTOKA KWENYE KITABU. Mwandishi P. T. Barnum anazungumzia namna ya kutengeneza uchumi wetu binafsi na kufikia utajiri. Kwa kupitia yale maisha tunayoishi kila siku kuna mengi tunakosea bila kujua. Kama dunia nzima ingekuwa haikuoni, au ungekuwa mwenyewe huku duniani, vitu ulivyonavyo sasa hivi ungeendelea…
MAMBO 5 NILIYOJIFUNZA LEO.-3
Habari Rafiki unaendeleaje na safari ya mafanikio? Maisha ni kupambana, katika zama zote wanadamu wenzetu wamekuwa wanafanya kazi na kupata matokeo ya kazi. Kila unachokifanyia kazi kama kuna watu wanakiona ipo siku kitaleta matokeo hivyo usiogope. Biashara ni Mahusiano. Kama wewe una biashara na huna mahusiano mazuri na wateja wako inakuwa ni ngumu sana mteja…
(Audio) UNAGUSAJE MAISHA YA WENGINE?-
Habari rafiki, Leo kwenye kipindi chetu cha USIISHIE NJIANI nimekuandalia somo hili katika audio download hapo chini.
MAMBO 5 NILIYOJIFUNZA LEO.2
Habari rafiki karibu tena siku ya leo tujifunze kwa pamoja mambo matano niliyojifunza siku ya leo. Nina amini unaendelea vyema na mafanikio. Hatuongozwi na msukumo wa kitu kimoja. Kwenye dunia ya sasa kila mtu anafanya jambo analolifanya kwasababu yake binafsi. Inawezekana wewe unatafuta pesa kwa namna yeyote ile ili ubadilishe hali mbaya ya familia yenu.…