Habari rafiki, Umeanzaje siku yako? Umefanya mazoezi? Umesoma kitabu? Pamoja na hali uliyonayo sasa hivi yaani hujafikia malengo yako kwa kiasi kikubwa bado una mengi ya kumshukuru Mungu. Embu watazame wasio na uwezo kama wako, watazame wanaokosa kula lakini wewe hujakosa mlo hata mara moja. Watazame wanaokosa maarifa kama haya, hawajui wafanye nini, hawana mtu…
All posts in USIISHIE NJIANI
#USIISHIE_NJIANI: DUNIA INAKUTAZAMA.
Wakati unaanza ulianza kwa mbwembwe na kelele nyingi, ulipenda kila mmoja ajue kwamba unaanza biashara au kipaji chako. Kuna waliokupinga, waliokukatisha tamaa, waliokutia moyo, waliosema umechagua njia sahihi. Naomba nikukumbushe kwamba bado dunia inakutazama yale uliyosema utafanya bado wanaakuchungulia kama ni kweli yatatokea au lah. Kama utakubali kukata tamaa utakuwa umewathibitishia wale waliosema kwamba huwezi,…
#USIISHIE_NJIANI- UNASUKUMWA NA NINI KUFANYA UNACHOKIFANYA?
Habari rafiki, siku yako umeianzaje? Hakikisha unasali, unasoma kitabu, unapitia maono na malengo yako na unafanya mazoezi. Hii itakufanya uwe na siku bora yenye uzalishaji. Mtu mmoja akaniuliza kwamba “ tunatafuta pesa za nini kama tutaondoka na kuziacha zote?” Akanieleza hadithi ya rafiki yake aliekuwa mpambanaji kweli ikafikia kipindi pesa ndio zilikuwa zimeanza kuingia mikononi…
LEO NDIO SIKU PEKEE UNAYOWEZA KUITUMIA.
Habari rafiki yangu. Umeanzaje wiki yako? Hakuna mtu mwenye siku Zaidi ya moja yaani wote tunaishi kwa siku moja ambayo imebeba masaa 24. Kwa wanoweza kuitumia vyema siku hii moja wameweza kupiga hatua. Kwa walioshia kusema kesho wataanza wmeishia kuendelea kutoa sababu kwanini hawajafanya. Usikubali kuendelea kuwa mtu wa aina hii fanya kitu leo. Haijalishi…
SEHEMU 4 UNAZOTAKIWA UWE BORA KILA SIKU ILI UISHI KWA FURAHA.
Mojawapo ya sehemu ambayo utakosea ni kusahau sehemu hizi nne za muhimu kwenye maisha yako ambazo unatakiwa uwe bora kila siku. Unajua ili uweze kuwa na mwili mchangamfu na wenye afya hutakiwi kula chakula kizuri pekee yake, lazima utatakiwa uwe unaufanyia usafi mwili, pia ufanye na mazoezi. Kama utakula peke yake ukasahau kuufanyia usafi mwili…
JINSI YA KUISHI LEO YENYE MAFANIKIO
Iwapo ukiambiwa kesho ndio itakuwa ni siku yako ya mwisho hapa duniani unafikiri ni vitu gani hasa ungevifanya leo? Embu viandike vitu hivyo basi uwe unavifanya kila siku. Unafikiri ni nani ungeongea nae kwa simu na kumuaga? Embu endelea kuongea nae kila siku. Unafikiri ni nani ungetaka umwonyeshe kuwa unampenda kwa dhati? Embu mwonyeshe kila…