HATUA YA 254: Huwezi Kupokea Mabadiliko kwenye Akili ya Zamani.

Kama wewe ni mtumiaji wa simu na unatumia hizi apps najua utakuwa umekutana na kitu kinakwambia update. Maana yak update ni kama kuboresha au kuongeza kitu kipya kwenye ile apps ya zamani. Watengenezaji wa apps hizi wanakuwa wameweka mambo mapya ndani ya apps sasa ili uyaone na kuyatumia hayo mambo mapya au muonekano mpya lazima…

HATUA YA 253: Hizi Ndio Nyakati za Kujua Kwanini Ulianza Unachokifanya.

Kwenye maisha kuna nyakati huwa zinatufikia ambazo zinakuwa ni kipimo ambacho kinaonyesha ukweli wa makusudi yetu kwa yale tuliyokuwa tunataka au tayari tunafanya. Unaweza kukutana na changamoto kubwa kiasi kwamba ukafikia hatua za kusema kama hali ni hii basi sifanyi tena hiki kitu. Lakini ukweli unabaki pale pale kwanini uliamua kufanya? Kabla hujakata tamaa ni…

HATUA YA 252: Uko Hivyo Ulivyo Kwa Kuamua.

Wako waliopitia changamoto kubwa kuliko wewe lakini hawajakata tamaa. Wako ambao walipata hasara kubwa sana kuliko hyo ambayo unajitetea nayo lakini bado wakasonga mbele na sasa tunazungumzia mafanikio yao makubwa. Wako waliochwa na waale waliowapenda sana lakini hiyo haikuwa sababu ya wao kuacha kutimiza ndoto zao bado wakasonga mbele tu. Hiyo kwao haikuwa sababu kubwa…

#USIISHIE_NJIANI:  ONA VITU KABLA HAVIJATOKEA.

Ili uweze kupata chochote unachokitaka lazima uanze kuona kwenye akili yako kabla hakijatokea kwenye uhalisia. Anza kutengeneza picha ndani ya fikra zako ndipo utaweza kupata kwenye uhalisia. Hakuna kitu kinatokea chenyewe kwenye maisha yako kama ajali lazima uanze kutengeneza picha na uifanyie kazi picha hadi itokee. Unajua muujiza unatokea bila ya sisi kutarajia au pale…

HATUA YA 251: Madhara ya Kuupuzia Vitu Vidogo Vidogo.

HATUA YA 251: Madhara ya Kuupuzia Vitu Vidogo Vidogo.

Tofali hujengwa kwa mkusanyiko wa punje moja moja za mchanga ambazo unaweza kuzibeba mkononi mwako lakini hujenga tofali ambalo huwezi kulibeba kwa mkono mmoja. Tofali nalo hujenga ghorofa kubwa sana ambalo binadamu na mali nyingi za thamani hukaa humo. Hadi unaliona jengo kubwa la ghorofa linalotokea lilianza kwa mkusanyiko wa punje ndogo sana ya mchanga.…

HATUA YA 250: Mambo 4 ya Kufanya ili Kujenga Mahusiano Bora na Wengine.

Maisha yako hapa duniani ni kwa ajili ya wengine. Haiwezekani ukaishi maisha ya furaha na Amani kama hakuna unachokifanya kwa ajili ya kugusa maisha ya wengine. Tumeumbwa katika maisha ya kutegemeana. Kila mmoja anamhitaji mwenzake ili maisha yake yawe bora. Daktari hawi daktari ilia je ajitibu yeye ila ni kwa ajili ya maisha ya wengine.…