KAMA UNA SIFA HIZI WEWE NI MJASIRIAMALI

Habari za leo mwanamafanikio. Leo ninataka kukuonyesha mambo machache ambayo yanaonyesha wewe ni Mjasiriamali. Katika dunia ya sasa tunahitaji watu wengi ambao ni wajasiriamali watu ambao wako tayari kuchukua hatua kubadilisha Maisha ya wengine pamoja na ya kwao wenyewe. 1.Decision maker (Mfanya Maamuzi) Kama wewe una uwezo wa kufanya maamuzi linapotokea jambo mbele yako bila kusita…

MAMBO 5 NILIYOJIFUNZA LEO -4

Habari rafiki,  unaendeleaje.  Leo tena tunakutana na mambo haya matano niliyojifunza siku ya Leo. Karibu sana rafiki yangu tujifunze pamoja. 1. Uaminifu ndio Mtaji Wako. Hakuna binadamu mwingine atakaependa kufanya kitu chochote na wewe kama huna uaminifu.  Hakuna atakaependa kuwa na wewe kwenye mahusiano. Hakuna atakaependa kufanya biashara na wewe. Hakuna atakaependa kukupa kazi. Kabla…

JINSI YA KUZISHINDA CHANGAMOTO UNAZOKUTANA NAZO KWENYE UJASIRIAMALI NA BIASHARA.

JINSI YA KUZISHINDA CHANGAMOTO UNAZOKUTANA NAZO KWENYE UJASIRIAMALI NA BIASHARA.

Habari za leo Mwanamafanikio mwenzangu. Najua una pilikapilika nyingi kipindi hiki cha siku kuu. Lakini mimi pia bado nipo kwa ajili yako. Hivi unajua kwamba kipindi hiki watu ndio wananunua Zaidi? Kama ni hivyo basi wauzaji wananufaika sana. Je wewe umefanikiwa Kuuza chochote siku kuu hizi? Kama hujafanikiwa basi mwaka 2017 usikupite hivi hivi jipange…

NAMNA YA KUWEZA KUFIKIA MAFANIKIO NA BIASHARA YAKO

Habari za leo Rafiki? Ni siku nyingine tena ya Baraka sana kwangu. Natumaini na kwako ni ya baraka Pia. Tunapopata nafasi ya kuwa na nguvu ya kuendelea kufanya yale tunayafanyayo ni vyema sana kushukuru.   Mwaka ndio huoo unaanza kwenda wewe unaelekea wapi? Leo ni tarehe 9 siku tisa zimeshapita wewe umeshaanza kuacha alama gani…

JINSI YA KUANZIA CHINI KABISA NA BIASHARA YAKO

Habari za leo Ndugu. Unaendeleaje na katika kutafuta Maisha ya mafanikio? Leo nimekuletea mada nyingine ya muhimu sana baada ya mada ya mada ya mtaji. Haya mambo mazuri tunayozungumza hapa njia nzuri ya kupata matokeo ni kufanyia kazi haya unayojifunza bila kukata tamaa. Haijalishi utakutana na changamoto kiasi gani unatakiwa uendelee kupambana uzivuke ili ufikie…

Subscribe