UNAITUMIA MITANDAO YA KIJAMII AU INAKUTUMIA WEWE?

Kwa kijana ambaye umefanikiwa kuwepo kwenye karne hii ya 21 ukisema kwamba huna njia ya kufanikiwa utakuwa unajiaibisha. Mabadiliko makubwa sana ya kiteknolojia yaliyopo sasa hivi na yatakayoendelea kuwepo yanarahisisha sana mtu aweze kufikia mafanikio makubwa kwa kutumia vifaa vya kisasa na mitandao ya kijamii. Kama kijana unapaswa kujua ni namna gani unaweza kuitumia mitandao…

UA KWANZA MZIMU HUU UNAOKUTESA ILI UFANIKIWE.

UA KWANZA MZIMU HUU UNAOKUTESA ILI UFANIKIWE.

Kinachofanya ukwame ni vile unapoteza muda kurekebisha makossa ambayo uliyafanya. Kinachokurudisha nyuma ni pale unapotaka kubadilisha mambo ambayo uliharibu. Njia pekee ya kubadili au kuwa mbali na historia mbaya ya Maisha yako ni wewe kuamua kuanza kufuata hatma mpya ya Maisha yako baada ya kulijua kusudi la Maisha yako. Unapowezekeza muda wako kwenye kusudi lako…

KANUNI YA  10× INAVYOWEZA KUKUFANIKISHA KWENYE MAONO YAKO.

Unafahamu pamoja na kuwajua watu wengi sana katika Maisha yako kuna watu angalau 10 tu ambao wanaweza kuwa tayari kukuinua pale unapokuwa umeanguka chini? Mtu wa kawaida kabisa ana watu wake wa karibu 10 ambao wapo tayari kununua au kuchangia kila anachokifanya. Ukweli ni kwamba hawa kumi wanaweza wasitoshe kununua bidhaa yako au kulipia huduma…

Unazijenga Tabia Kisha Tabia Zinakujenga.

Nakumbuka nimewahi kuandika mahali kwamba “Maisha yako Ni Tabia Zako” yaani vile unavyoishi kila siku ni mkusanyiko wa tabia ambazo umezitengeneza. Ni rahisi sana kutengeneza tabia mbaya kuliko tabia nzuri. Unajua ni kwanini? Mara nyingi tabia mbaya mwanzoni ni nzuri na ni rahisi, tabia nzuri mwanzoni ni ngumu na zinachosha. Unapoanza kuamka mapema utaanza kuona…

HII NDIO NJIA YA PEKEE YA KUISHI MILELE.

Kungekuwa hakunaga kufa kwa namna ninavyoona wanadamu hasa wa Africa wangekuwa wavivu sana kuliko viumbe wengine wote. Nadhani kungekuwa hakuna ambaye anajishughulisha sana kwasababu hakuna kinachomfanya afikirie mbali. Kifo kipo ili kuongeza thamani ya uhai wa mtu. Kama kungekuwa hakuna kifo thamani ya uhai ingekuwa ni ndogo sana. Wandamu wangekuwa hawajali sana kama ambavyo sasa…

JAMBO HILI PEKEE NDIO LITAWAFANYA WATU WAULIZANE.

Inawezekana kwenye uko wenu familia yenu ndio mna hali duni kuliko wengine wote na hivyo kuonekana kama mnawategemea wale ambao wamewazidi. Inawezekana umefeli masomo na hujaweza kufikia elimu ya juu ambayo uliambiwa ndio mkombozi wa Maisha yako. Inawezekana pia umezingirwa na madeni makubwa sana hadi aibu na wakati mwingine unashindwa kupita hata mtaani. Inawezekana unaonekana…