MBINU ZITAKAZOKUWEZESHA KUMILIKI MAISHA YAKO.

Kama maisha yako yanategemea 90% kutoka kwenye ajira bosi wako ameyadhibiti maisha yako. Unaweza kukuta mtu unapitia vitendo vya unyanyasaji kazini,  wakati mwingine huipendi kazi yako, inakubidi ubakie hapo hapo ulipo kwasababu hiyo kazi imekuwa kama maisha yako. Yaani bila hiyo kazi maisha yako yanakuwa sehemu mbaya sana. Kama maisha yako yanategemea mzazi zaidi ya…

UJUMBE WANGU KWAKO KIJANA MWENZANGU

Vijana ndio tegemeo kubwa katika sehemu mbalimbali za kijamii, kidini, n ahata pia kisiasa. Kwenye serikali tuna maaskari polisi wengi ambao ni vijana pamoja na wanajeshi. Dini zetu pia zinahitaji vijana Zaidi kwasababu ndio pekee wenye nguvu kuliko wazee na watoto. Vijana pekee ndio wanaweza kufanya mambo makubwa na yakaleta matokeo makubwa. Vijana ndio wanahusika…

SIMAMIA UNACHOKIAMINI

Desmond Thomas Doss (February 7, 1919 – March 23, 2006) Alizaliwa nchini Marekani Virginia Alikuwa ni mwanajeshi aliepigana vita ya pili ya dunia. Katika Maisha yake alijiwekea ahadi kwamba kamwe hatashika bunduki hii ni kutokana na Imani yake kwamba kushika bunduki ni sawa na kuua. Alipata upinzani mkubwa sana kwenye kambi ya jeshi wakati anafanya mazoezi na ilikuwa…

VITU MBALIMBALI VYA KUFANYA ILI UWE NA UHURU WA KIFEDHA

Habari rafiki, kwenye maisha ya sasa ili uweze kuishi maisha yale ambayo unayotaka kwa zaidi ya 50% lazima uwe na njia mbalimbali za kukuingizia kipato. Usikubali kutegemea njia moja ya kukuingizia kipato. Hata kama sasa unategemea njia moja anza mpango wa kutengeneza njia nyingine kwa ajili ya vipato. Biashara nyingi kubwa zinaweza kujiendesha zenyewe na…

Mambo uliyokuwa huyajui Kuhusu Ajira

Habari za Leo Msomaji wetu. Tunakwenda kuzungumzia kwa kifupi juu ya ajira na waajiriwa na jinsi ya kujitoa kwenye kongwa hili. Ni kweli tunategemeana katika maisha yetu mwenye biashara anategemea wafanyakazi ili aweze kukuza zaidi biashara yake. Lakini bado hiyo haitakiwi kuwa sababu ya wewe kutofanya kitu kingine na kubakia unategemea mshahara peke yake.  Mabadiliko…

Mambo 5 Yanayoonyesha Unachokifanya Sio Kusudi Lako

Habari za leo Rafiki yangu wa Muhimu sana. Natumaini leo yako inaendelea vyema. Tunakwenda kuangalia mambo matano yanayoonyesha kua unachokifanya sio kusudi la wewe kuwepo duniani. Karibu ujifunze pamoja name. Kukosa furaha. Kama unachokifanya hakikufanyi unakajisikia furaha ndani ya moyo wako yaani hufurahii kukifanya moja kwa moja hilo sio kusudi lako. Kaa chini tafakari ujue…