BARUA YA WAZI KWA WOTE WANAOISHI BILA YA MZAZI MMOJA AU WOTE.

Habari Rafiki yangu, leo tena nimeandika barua hii maalumu kwa watu wote wasio na wazazi na pia wenye mzazi mmoja. Ni kwa ajili ya kukutia moyo ili uweze kusonga mbele na kutimiza Ndoto yako. Unaweza kutuma Makala hii kwa Rafiki yako ambaye unafikiri akiisoma itamtia moyo na ataweza kusonga mbele. Kwa waliopoteza wazazi kwasababu mbalimbali,…

JINSI YA KUJUA KAMA UNAELEKEA KWENYE NDOTO YAKO AU UMESHAPOTEA NJIA.

Habari Rafiki, Leo ni siku nyingine tena ambayo tumepewa kama zawadi kwa ajili ya kwenda kuyafanya Maisha yetu yawe bora Zaidi. Jisemeshe Maneno Haya Kabla Hujatoka Kwenda kufanya Chochote. “NACHUKUA HATUA, NAJIFUNZA, NAWEKA JUHUDI NA BIDII, NAVUMILIA. MAFANIKIO NI HAKI YANGU, EEH MUNGU NIWEZESHE.” Pamoja na kwamba wengi tumekuwa na maono makubwa na ndoto kubwa…

JINSI YA KUANDIKA MALENGO YAKO NA KUANZA KUYATIMIZA KIRAHISI ZAIDI.

Habari za Leo. Ni furaha yangu kuwepo pamoja na ninyi hapa siku ya leo. Kabla hata hujaweka malengo yako ya mwaka huu jiulize maswali haya ya muhimu. Umeshajua kwanini Upo duniani? Una Maono gani juu ya hilo lililokuleta hapa duniani? Ukishapata majibu ya maswali hayo mawili tunaweza kuendelea kujifunza kwenye somo letu la kuweka malengo.…

WEWE NI MZALISHAJI AU MTUMIAJI/MLAJI?

Kwenye dunia ya sasa kuna vitu vingi sana vinazalishwa kila siku na kila wakati vinagunduliwa vipya. Kitu kimoja kinachonifurahisha zaidi ni kwamba tuna watumiaji wengi sana ambao hawaachi kitu kipya kije bila wao kutumia. Jiulize leo unatumia vitu vingapi na kwa faida gani? Tuanze na mitandao ya kijamii pamoja na vifaa vyake. ⚠Umenunua laini ambayo…

UMUHIMU WA KUJITAMBUA NA KUELEKEA KWENYE MAFANIKIO

UMUHIMU WA KUJITAMBUA NA KUELEKEA KWENYE MAFANIKIO

Kujitambua wewe ni nani ni hatua ya kwanza kwako kuanza kufanya mambo makubwa na kutimiza ndoto zako. Watu wengi wanashindwa kujitambua wao ni nani hivyo wanaishia njia bila hata kujua uwezo walio nao. Kama hujajua wewe ni nani huwezi kujua uwezo wako ukoje. Embu jiulize simba mkubwa ambaye hajitambui yeye ni simba hawezi kuwinda. Hawezi…

JINSI YA KUJIJENGEA TABIA YA KUSIKILIZA NA KUJILETEA MAFANIKIO KATIKA MAHUSIANO YAKO NA WENGINE.

Habari za leo Rafiki yangu, ninatumaini unaendelea vyema na mapambano ya kufikia mafanikio makubwa. Ni muhimu utambue kwamba maisha hayatakaa yawe marahisi hivyo basi unachohitaji ni wewe kuwa na ujuzi wa namna mbalimbali ili uweze kuzikabili changamoto unazokutana nazo. Kazi yangu kubwa ni kukupa wewe mbinu mbalimbali ambazo utazitumia zikuwezeshe wewe katika changamoto hizo na…