KONA YA BIASHARA: Lijue Dhumuni La Biashara Yako.

Kama jinsi kulivyo na magari ya abiria, mizigo na binasfi vile vile biashara zipo kwa madhumuni ya aina mbalimbali. Ni vyema wewe kama mfanyabiashara ukalijua dhumuni la biashara yako kwenye jamii uliyopo. Jiulize unawasaidia nini watu kwa biashara yako? Unajua mtu hawezi kwenda kununua gari la abiria wakati mahitaji yake ni gari la kutembelea. Hivyo…

KONA YA BIASHARA: Hiki Ndio Sababu ya wewe Kuanguka Kibiashara

Kinachoshangaza sana kwa biashara nyingi za kwetu ni kwamba wamiliki au walioajiriwa kwenye biashara ndio wanaongoza kwa kudharau, kuongea vibaya na wateja wao. Mteja anapoamua kuja kwenye biashara yako sio kwamba ana shida sana, wewe ndio una shida na hela ndio maana ukafungua hiyo biashara, ungekuwa huna shida na pesa ungekaa nazo nyumbani ukatumia. Mteja…

KONA YA BIASHARA: JINSI YA KUPATA MTAJI NA KUANZA BIASHARA YAKO

Kuna mambo machache unatakiwa ujiulize Je eti ni kweli mwaka ujao utakuwa mpya kwako au ni zile kelele tu na hamasa? Una kitu gani unakitegemea kukipata cha tofauti ndani ya mwaka ujao? Umeajiandaa vipi kukipata? Upo tayari kuwa mpya ili upate hayo mambo mapya ya mwaka ujao? Tuachane na hayo twende kwenye mada yetu ya…

KONA YA BIASHARA: TABIA ZA KUKUWEZESHA KUFIKIA MAFANIKIO NA BIASHARA YAKO

Mwaka ndio huoo unakwisha umefikia wapi na malengo yako? Yaani ndio hivyo mwaka unaishaga ni sekunde moja inacheza na kutengeneza dakika na dakika nayo inakwenda hadi masaa 24. Kunakuwa asubuhi, mchana, jioni na hatimaye usiku siku inapita. Hivyo ukidhani kuna kitu cha tofauti kwenye mwaka mpya utakuwa unakosea. Utofauti wa mwaka unaweza kuwa ni majira…

KONA YA BIASHARA: Unaona Nini?

Chochote unachokifanya sasa hivi kwenye biashara yako lazima kiwe kinafuata ile picha kubwa uliyokuwa unaijenga wakati unaanza. Usikubali kutoka nje ya picha ile hata kama mambo yanakwenda magumu sana. Endelea kuitazama ile picha ikupe hamasa Zaidi. Unapopitia magumu huwa unaona nini? Watu wengi huona kushindwa, kufilisika, kuanguka kibiashara, lakini leo nataka ubadili namna unavyoona wakati…

KONA YA BIASHARA: Sababu za Kudumu na Sababu za Msimu.

Nimekuwa nakutana na watu wengi wanatamani sana kuingia kwenye biashara ukija kuwauliza ni kitu gani hasa kinawasukumu waingie watakwambia kuna matatizo Fulani wanataka wayatatue. Sasa watu wa aina hii wanakuwaga ni majanga sana kwasababu ataanza baada ya muda Fulani watu wamemzoea hivi yeye anakuwa amemaliza shida zake anaacha biashara. Vilevile anaweza kukutana na changamoto kidogo…

Subscribe