HATUA YA 17: Tafuta mtu wa Kukukosoa.

Wanadamu kwa asili tunapenda kusifiwa. Pale inapotokea mtu amekukosoa wakati mwingine unaweza kufikiri anakuonea wivu au vingine. Lakini ukweli ni kwamba hatuwezi kukua au kuwa bora bila kupitia changamoto hii ya kukosolewa.Mwandishi huyu anasema “Mjinga yeyote anaweza kukosoa, kulaani, na kulalamika lakini inahitajika tabia na kuweza kujidhibiti ili kuelewa na kusamehe. ~ Dale Carneige Kwenye…

HATUA YA 16; Noa Shoka Lako.

Usiparamie mti wakati shoka ni butu. Utatumia nguvu kubwa sana lakini utapata matokeo madogo. Abraham Lincoln aliwahi kusema kwamba akipewa masaa sita kukata mti atatumia masaa manne kunoa shoka lake. Hii inatufundisha kwamba ni muhimu sana kujiandaa vyema kwa kile unachotaka kufanya. Hii haimaanishi kwamba uchelewe kuanza kwa kisingizio unanoa shoka. Au unajiandaa. Chochote unachotaka…

HATUA YA 15; KUFIKIRI NA KUTENDA.

Kufikiri na kutenda ni vitu viwili ambavyo huwa haviachana popote utakapofanya jambo. Mambo mengi mabaya na mazuri hua yanatokea hapa duniani kwasababu ya hivi vitu viwili. Ukitenda bila kufikiri utapata matokeo mabaya sana. Ukifikiri bila kutenda utabaki bila matokeo yeyote. Haijalishi umefikiri vyema kiasi gani usipoweka kwenye matendo hakuna matokeo utakayopata. Kufikiri bila kutenda kunasababisha…

HATUA YA 14; UNA NGUVU NDANI YAKO.

Una nguvu kubwa sana ndani yako. Inawezekana hujawahi kuambiwa hata siku moja. Leo ninakwambia ipo nguvu ndani yako ya kushinda yote ambayo unayapitia sasa. Ipo ngvuvu ndani yako ya kukuwezesha kufikia yale yote unayoyataka. Haijalishi sasa hivi unaona giza. Au unapitia magumu kiasi gani. Tumia uwezo ulio ndani yako kuzishinda changamoto unazopitia sasa. Una nguvu…

HATUA YA 13; Ipo Siku.

Hapo zamani kabla ya kutambua ni kitu gani natakiwa kufanya ili nifikie Mafanikio nilizoea kusema ipo siku ndoto yangu itatimia. Ni maneno mazuri sana na ya kutia Moyo lakini kama hakuna unachofanya hiyo ndoto itabakia kuwa ndoto. Ipo siku utatambua haya ninayosema ni Kweli. Huwezi kusubiria mazao wakati hakuna shamba lolote ulilootesha mbegu. Ili neno…

HATUA YA 12; Wewe Rafiki Yangu.

Wewe ni Rafiki Yangu hivyo lazima wakati wote niwe nakwambia Ukweli. Ukweli ni kwamba usipokubali kubadilika mwaka 2017 utakua mgumu zaidi. Wewe Rafiki Yangu usiopoacha kuishi maisha yako halisi utaishia kuteseka moyoni mwako kwa kuwaridhisha wengine. Wewe Rafiki yangu acha kuwa mzembe kila siku nakwambia kusoma vitabu ni muhimu sana lakini unahisi nakutania. Lakini ipo siku…