Mara nyingi tumekuwa tukitamani Maisha mazuri sana kwenye akili zetu na kujiambia ipo siku tutafikia Maisha hayo. Mara nyingi hali hii huleta huzuni hasa pale unapowaona watu wa rika lako wanaishi Maisha ya tofauti na mazuri sana kuliko wewe. Kitu cha muhimu kutambua ni kwamba hauko hapo ulipo sasa kwa bahati mbaya inawezekana ni kwa…
All posts in HATUA ZA MAFANIKIO
HATUA YA 30: Hivi ni Vitu vya Msingi kama unataka kudumu kwenye Mafanikio.
Kama kuna sehemu utakosea ni kusahau kujali vitu vya muhimu sana kwenye Maisha yako wakati unatafuta mafanikio na mali za ulimwengu huu. MAHUSIANO; Wakati unatafuta pesa usijisahau ukaacha kutengeneza mahusiano mazuri na familia au wale unaowapenda. Unaweza kutafuta pesa nyingi sana kwenye dunia hii kisha unashindwa kuja kuzifurahia kwasababu wale unaowapenda na waliokupenda uliwasahau hivyo…
HATUA YA 29: Sio Kila Vita Upigane wewe!
Kuna baadhi ya watu huwa unawakuta kwenye kila kitu. Kila kinachokuja kipya anakuwepo ndani yake. Kila fursa mpya unayotokea unataka ufanye. Mafanikio hayatakuja kwa kufanya vitu vingi bali kwa kufanya mambo machache hadi yakakuletea matokeo. Jifunze kufanya jambo moja hadi lilete matokeo. Nikwambie ukweli kama unachokifanya sasa kuna watu wanaendelea kukifanya na wana mafanikio makubwa…
HATUA YA 28: Unaweza Kutoka hapo Ulipo.
Haijalishi upo kwenye hali gani sasa bado unayo nafasi ya kusimama tena. Inawezekana ulishasema haiwezekani lakini leo nina neno kwa ajili yako. Unaweza kufanya mambo makubwa sana. Njia za wewe kufanikiwa zinaendelea kufunguka kila, ni wewekufungua macho na kuziona. Ili utoke hapo ulipo ni lazima uamue kuchukua hatua ya kubadili Maisha yako. Lazima ukubali kufanya…
HATUA YA 27: Acha Kujikataa,
Pale inapofika wakati ukaanza kujiona huwezi vitu Fulani kwasababu ya elimu yako ndogo unapoteza uwezo wako mkubwa taratibu. Kuna maneno ambayo ni hatari sana kujitamkia kwenye Maisha yako kwani yanakuharibu kabisa. Yanakufanya ushindwe kwenye kila jambo unalofanya. Haya; Mimi sina Elimu ya Kutosha hivyo hii biashara siiwezi! Kwetu ni maskini sana hakuna hata mmoja tajiri!…
HATUA YA 26: Tatizo sio Pesa Tatizo ni Wewe,
Tatizo sio kwamba huna pesa tatizo ni fikra zako juu ya pesa zilivyo. Unafikiri kwamba siku ukipata pesa utafanya hivi na hivi. Ukweli ni kwamba pesa unazipata kila siku lakini hujui. Ukibadili unavyofikiri juu ya pesa utakuwa umebadili matatizo yako ya kipesa yote. “The greatest of evils and the worst of crimes is poverty… our…