Pamoja na kwamba tunapambana kila siku ili kuweza kuyafanya Maisha yetu yawe bora vipo vitu vya muhimu sana tunapaswa kuvitazama Zaidi. Unaweza kumiliki utajiri wa kila mali inayoonekana kwa macho lakini kama humiliki akili wewe ni maskini kama maskini wengine. Akili peke yake ndio mali ambayo unaimiliki na hakuna binadamu ambaye anaweza kukuibia. Watu wengi…
All posts in HATUA ZA MAFANIKIO
HATUA YA 284: Huu ndio Mtazamo Unaopaswa Kuwa Nao
Mtazamo wako ndio unaamua ukubwa au udogo wa matatizo yako. Mtazamo wako ndio unaamua wewe ushinde au ushindwe kwenye changamoto unazopitia. Mtazamo wako ndio unakufanya wakati mwingine ukosane na watu kutonakana na namna unavyowatafsiri. Ukiweza kubadili mtazamo wako juu ya mambo unayoyapitia unaweza kupiga hatua kubwa sana. Kama kiongozi unaweza kuwaharibu kabisa wale unawaongoza kutokana…
HATUA YA 283: Hiki ndio Kipimo Bora cha Uaminifu wa Mtu.
Siku zote ukitaka kujua kama mtu anakuibia mara nyingi huwa tunawawekea mitego mbalimbali. Lakini kuna baadhi ya vitu huhitaji kuweka mitego wala chochote bali unahitaji tu kuondoa umakini kwa pale ambapo unahisi huyu mtu sio mwaminifu. Ili uweze kujua mtu ni mwaminifu kwako ondoa umakini kwenye lile jambo unalohisi siyo mwaminifu. Unapoondoa umakini unakuwa umempa…
HATUA YA 282: Hii Ndio Siri Iliyopo Ndani ya Woga.
Kama kuna jambo umekuwa unaliogopa sana kulifanya katika Nyanja ya mafanikio hiyo ni ishara ya kwanza kabisa kuonyesha kwamba jambo hilo litaleta matokeo makubwa kwenye Maisha yako. Woga unakuja kwasababu kuna kitu cha tofauti utakwenda kufanya. Kwasababu ya akili yako kutokuzoea jambo hilo la tofauti itakuaje zinakuwa nyingi na kukufanya wewe ushindwe kufanya maamuzi. Unachukua…
HATUA YA 281: Kuna Mtu Anakuamini?
Kama utaishi hapa duniani halafu ukakosa watu ambao watakuamini utaishi Maisha magumu sana. Hii ni kwasababu kuna baadhi ya mambo unapoyafanya lazima uwe una watu wanaokuamini. Wanaojua sifa zako za ufanyaji kazi. Unaweza kuwa unalalamika huna mtaji wa kuanza biashara lakini mtaji ungeupata kama ungekuwa na watu watano tu wanaokuamini. Unaweza kulalamika Maisha magumu hakuna…
HATUA YA 280: Watu Wengi Wamekosa Kitu Hiki ndio Maana Hawafiki Popote.
Kuna msemo mmoja wa wahenga unasema “mazoea hujenga tabia” ni kweli lile jambo ambalo umezoea kulifanya mara kwa mara linakuwa tabia yako. Lakini kitu cha kushangaza sana ni kwamba wengi wanafanya mambo ambayo hawayataki kwenye maisha yao. Watu wengi wanafanya mara kwa mara yale mambo yanayoleta umaskini na wakati mwingine hata maradhi. Mambo mazuri yamekuwa…