Skip to content

Jacob Mushi

Afya, Hekima na Utajiri

  • Home
  • About Jacob
  • Huduma
  • VITABU
  • Mawasiliano
Menu

All posts tagged Namna ya Kuwekeza Katika Biashara

Jijengee Tabia ya Kuweka Akiba.

Posted on January 9, 2020January 8, 2021Author jacobmushiPosted in AFYA, HEKIMA NA UTAJIRI, WEKEZA4 Replies

Habari rafiki, hongera kwa kuchukua hatua ya kutaka kujijengea tabia ya kuweka akiba. Hii ni tabia ambayo watu wachache sana wanayo na imewawezesha kuishi maisha ya mafanikio yasiyo na hofu. Embu jiulize kama sasa hivi ungekuwa na akiba ya fedha ambayo inatosha kuendesha maisha yako hata kama hufanyi kazi yoyote kwa miaka 5 ungeishi kwa…

Continue reading

KITABU: MILIKI BIASHARA KUBWA

Posted on March 17, 2019July 17, 2025Author jacobmushiPosted in VITABULeave a Reply

Kitabu hiki kimebeba uhalisia wa Maisha ambayo nimeishi na kujifunza kutoka kwa wengine. Pamoja na kitabu hiki kubeba mambo mengi mazuri sana, bado inakupasa wewe uwe mchukuaji wa Hatua kwa kila unalojifunza ndani ya kitabu hiki. Usiishie kusoma na kuburudika kama msomaji wa hadithi bali uweze kuchukua Hatua hata kama ni ndogo lakini inayoleta mabadiliko kwenye…

Continue reading

©2026 Jacob Mushi | Theme by SuperbThemes.Com