Skip to content

Jacob Mushi

Afya, Hekima na Utajiri

  • Home
  • About Jacob
  • Huduma
  • VITABU
  • Mawasiliano
Menu

All posts tagged kusudi lako

#HEKIMA YA JIONI: USIKUBALI KUWA MFUNGWA KWENYE FIKRA ZA WENGINE,

Posted on February 22, 2018Author jacobmushiPosted in USIISHIE NJIANILeave a Reply

Unaweza kuwa na kila kitu ambacho wengine kwa nje wanaona ni kizuri lakini kumbe yote hayo ni matokeo ya mawazo ya watu wengine juu yako. Kama unachokifanya hakijatoka ndani yako utaishi Maisha yako yatakuwa ni kifungo cha mawazo ya wengine . Kutokana na maoni ya watu wengine juu ya Maisha yanavyotakiwa kuwa umejikuta upo ndani…

Continue reading

©2026 Jacob Mushi | Theme by SuperbThemes.Com

 

Loading Comments...