Skip to content

Jacob Mushi

Afya, Hekima na Utajiri

  • Home
  • About Jacob
  • Huduma
  • VITABU
  • Mawasiliano
Menu

All posts tagged kuongezeka

#HEKIMA YA JIONI:  Jifunze kwa Mwindaji Na Mfugaji.

Posted on February 23, 2018Author jacobmushiPosted in USIISHIE NJIANILeave a Reply

Maisha ya mwindaji na mfugaji yanaweza kuwa mfano mzuri sana kwenye Maisha yetu ya kila siku na kama tutaweza kuwatazama vizuri watu hawa tunaweza kujua tupo upande upi. Mwindaji. Mtu wa aina hii siku zote anatumia nguvu Zaidi katika matendo yake. Ili aweze kuwinda lazima atumie nguvu zake. Mtu wa aina hii anawaza Zaidi kula…

Continue reading

©2026 Jacob Mushi | Theme by SuperbThemes.Com