HATUA YA 191: Usiishi Maisha ya Dharura.

Kuna dharura zinajitokeza wakati upo kwenye shughuli zako na kuna dharura zinatokea na wewe upo upo tu hujui cha kufanya. Kama utashindwa kutofautisha vitu vya dharura na vitu vya muhimu kwenye Maisha yako utajikuta unapoteza mwelekeo wa Maisha yako. Vitu vya dharura ni vitu vile ambavyo mara nyingi vinajitokeza kwenye ratiba yako na hukuwa umevipangilia.…

HATUA YA 189: Mbinu 3 za Kuweza Kuwa Wiki Bora.

Maisha yako yapo mikononi mwako, ukishindwa kupangilia siku yako vizuri unapanga kuipoteza. Ili uweze kuwa na juma lenye uzalishaji bora ni vyema ukawa na ratiba yako ya kila wiki. Jua ni vitu gani vya muhimu ambavyo utakwenda kuvifanya kabla wiki haijaanza. Pangilia Wiki Yako Kabla Hujaianza. Kwa kawaida wote siku ya Jumapili tunaitumia kama mwisho…

HATUA YA 180: Usikubali Kuwa Mtu wa Aina Hii.

Kamwe usikubali kuwa mtu ambaye anadanganya. Mtu mwongo atakula matunda ya kinywa chake, uongo ni mbegu na inazaa mazao yake. Matokeo ya uongo ni kushindwa kuaminika. Matokeo ya uongo ni kujishushia heshima, matokeo ya uongo yanaweza kuwa makubwa sana hasa kama una maono makubwa. Kuna mambo yako yatashindwa kwenda kwasababu ulidanganyaga kipindi cha nyuma. USIKUBALI…