Kwanini mafanikio ni lazima kwako?

Habari za leo msomaji wetu ni matumaini yangu unaendelea vyema na harakati za kutafuta mafanikio. Leo tunakwenda kujifunza sababu za muhimu wewe kufanikiwa.karibu sana tujifunze pamoja. Pesa sio kitu cha muhimu sana duniani lakini inagusa sehemu nyingi za muhimu katika maisha yetu hapa duniani. Mungu anawapenda maskini kwa sababu anataka watoke kwenye umaskini wao na…

Duniani kuna vitu vingi huwezi kuvipata vyote huwezi kuvijua vyote ufanyeje? Soma hapa….

Habari ya leo ndugu msomaji  wetu. Ni matumaini yangu mnaendelea vyema  na maishz yenu. Karibu tena leo kwa kujifunza pamoja. Kwani mafanikio yetu ni mafanikio yako. Duniani kuna vitu vingi sana vya kuvutia vingine vya ajabu vya kutisha n.k. Pia kuna watu wa aina mbalimbali na tamaduni za namna mbalimbali.  Pia kuna vipaji vya aina…

Penda Mafanikio ya Wengine

Ukitaka kufanikiwa penda mafanikio ya wengine. Habari ndugu msomaji wetu ni matumaini yangu unaendelea vyema. Leo tunazungumzia kuhusu mafanikio.Kila mmoja wetu anatamani kufanikiwa pale mahali alipo. Nikuulize swali hua unafurahia mafanikio ya wenzako? Ukitaka kufanikiwa penda mafanikio ya waliofanikiwa. Huwezi kuwa na kitu unachokichukia huwezi kua tajiri kama unawachukia matajiri. Wiki iliyopita nilikua na rafiki…

Leo Ndio Yako…

Habari ndugu msomaji wa makala zetu. Ni matumaini yangu unaendelea vyema na mapambano ya maisha. Tunamshukuru Mungu tunapokea ujumbe kwenu kua makala hizi zinafundisha. Tutaendelea kufanya hivyo kwa utukufu wa Mungu. Leo ndio yako  huna siku nyingine uliyonamatumaini nayo zaidi ya leo. Kwa kama kuna jambo umeliweka kwenye ratiba ya leo lifanye kwa bidii zote…

Hakikisha Siku haipiti hujafanya haya…..

Habari za leo ndugu msomaji wa blog yetu. Ni matumaini yangu unaendelea vizuri katika maisha yako. Tunakuombea Mungu ufanikiwe. Leo tunangalia vitu vya kufanya  ili uweze kuendelea kufanya mambo na ufanikiwe ” ISIPITE SIKU HATA MOJA HUJAONGEZA THAMANI YAKO”  Katika maisha yako jitahidi siku nzima isipite hujafanya mambo haya yaani ili kuongeza thamani yako kwako…

Jacob Mushi

Afya, Hekima na Utajiri

Skip to content ↓