Chochote Unachokitaka kipo ndani yako. Ili uweze kukipata unaanza kwa kuamini.Unapoamini unakua na uhakika.Imani yako itakua kutokana na matendo yako kila siku juu ya kile ukitakacho. Imani ikiwa kubwa zaidi ndio unavyokaribia kufikia yale unayoyataka. Heshimu na thamini sana kile ulichonacho sasa hivi maana ndio kinakusitiri leo. Asikudanganye mtu eti uchukie hali uliyonayo sasa. Mimi…
KESHOKUTWA INAKWENDA KUA NJEMA KWAKO
Maneno mengi uliyoambia tangu ukiwa mdogo kwamba hauwezi, haiwezekani kwenu ni maskini, kwenu wote hawajawahi kufaulu. Ukaonyeshwa hata na watu wako wa karibu kama wajomba mashangazi mama wadogo na wakubwa, kaka zako, waliojaribu wakashindwa huwezi kuyaondoa kwa siku moja. Maneno hayo yamejishika katika ufahamu wako hivyo wakati mwingine yanakurudisha nyuma. Kuna wakati unapitia hali ngumu…
Jiulize maswali haya Leo.
“I have looked in the mirror every morning and asked myself: ‘If today were the last day of mylife, would I want to do what I am about to do today?’ And whenever the answer has been ‘No’ fortoo many days in a row, I know I need to change something.” – Steve Jobs Appleco-founder…
UMEFANYA NINI LEO KUTIMIZA ILE NDOTO?
Kila mmoja wetu ana ndoto na maono ndani yake, hata mtu ambaye ni fukara kabisa ana ndoto ya kutoka kwenye umaskini siku moja. Ukubwa wa ndoto zetu unatofautiana kila mmoja anaona kutokana na mazingira na taarifa alizonazo. ♻️Nataka ujiulize swali moja leo. Unafanya nini kila siku ili kufikia hiyo ndoto yako? Unaendelea na maisha yako…
USITAZAME NYUMA
Ulikotokea hakuna maana kubwa sana kama unapoelekea, haijalishi una historia ya aina gani bado unaweza kuibadilisha leo. Acha kurudi nyuma na kuangalia kule uliwahi kushindwa, maisha yanaweza kubadilika kwa vyovyote vile unavyotaka. Unaweza kutengeneza tena leo haijalishi wiki iliyopita ulikosea kiasi gani kama bado upo hai una nafasi ya kubadilisha baadae yako. Inawezekana watu wanakusema…
#Kujua Unachokitaka na kukifanyia Kazi
Ili uweze kua na ndoto, maono, malengo, mipango, au chochote kile Unachokitaka kwenye maisha yako. Ni lazima kwanza uanze kujua unataka nini.: Bila kujua unataka nini utajikuta kila kinachokuja unafanya.Tuna wanafunzi walio maliza form six na wengine watakwenda kumaliza form four: Mara nyingi nimekua naona wengi wanafanya maamuzi tu kwa kile kilicho kirahisi. Mfano umepata…
Watu 3 muhimu kua nao kwenye safari ya mafanikio
Tupo kwenye dunia ambayo tulikuta watu na tutawaacha watu. Vyote tulivyovikuta vilianzishwa na binadamu wengine wenye mawazo mema na wenye mawazo mabaya pia. Vitu vingi tunavyovifanya tunaendeleza tulivyovikuta ni mara chache kukuta kitu kipya ambacho hakitegemei mazingira na asili ya tulivyovikuta. Hivyo basi kwa vyovyote vile unahitaji mtu wa kukuongoza au kuku Coach ili ufanikiwe…
Hapa Ndipo Unapokosea.
Haiwezekani wewe unatamani kuja kua Mwimbaji bora wa kimataifa halafu muda wako mwingi ukautumia kufuatilia siasa zaidi. Haiwezekani wewe unatamani kuja kua mfanyabiashara mkubwa halafu muda wako mwingi unafuatilia mpira. Unawajua wachezaji bora kuliko wafanyabiashara bora. Huko ni kupoteza muda tumia muda mwingi zaidi kwenye kile unachotaka kuja kua. Tafuta na fuatilia taarifa nyingi zaidi…