Karibu. Lengo langu ni moja: kukuwezesha uwe bora, usonge mbele, na utimize kile ulichowekewa ndani yako. Hizi ndizo njia ambazo tunaweza kufanya kazi pamoja.
Huduma
Ushauri, mafunzo na mazungumzo — kwa mtu binafsi, kwa timu na kwa taasisi.
-
Ushauri binafsi
Mazungumzo ya ana kwa ana kuhusu kile unachopitia — mwelekeo, maamuzi magumu, au hatua inayofuata. Niandikie changamoto unayopitia na utapata maelekezo ya namna ya kufanya kazi pamoja.
-
Mafunzo kwa timu na taasisi
Mafunzo ya nidhamu, uongozi na utamaduni wa kazi kwa timu za makampuni, makanisa na vikundi.
-
Mwaliko wa kuzungumza
Mikutano, semina, makongamano na matukio ya vijana — kuhusu kusudi, biashara na maisha.
-
Vitabu na makala
Vitabu sita na zaidi ya makala 900 — soma bure hapa, au chukua kitabu kizima.
-
Uwepo wako mtandaoni
Kupitia Netpoa: domain, hosting, barua pepe za kampuni na tovuti — kwa bei ya Kitanzania.
Niambie unachopitia
Andika changamoto unayopitia au kile unachotaka kufikia. Nitasoma mwenyewe na kukujibu kwa maelekezo ya namna tunavyoweza kufanya kazi pamoja.
- WhatsApp Tuma ujumbe sasa
- Simu +255 654 726 668
- Ninapatikana Jumatatu – Ijumaa, 08:00 – 17:00 (EAT)
