Ukitaka kufanikiwa penda mafanikio ya wengine. Habari ndugu msomaji wetu ni matumaini yangu unaendelea vyema. Leo tunazungumzia kuhusu mafanikio.Kila mmoja wetu anatamani kufanikiwa pale mahali alipo. Nikuulize swali hua unafurahia mafanikio ya wenzako? Ukitaka kufanikiwa penda mafanikio ya waliofanikiwa. Huwezi kuwa na kitu unachokichukia huwezi kua tajiri kama unawachukia matajiri. Wiki iliyopita nilikua na rafiki…
All posts in USIISHIE NJIANI
Msaada wako utatoka wapi wakati wa shida?….
Habari ndugu msomaji wa mtandao huu karibu tena katika makala ya leo. Ni matumaini yangu unaendelea vyema na maisha yako. Leo ningependa tujiulize swal moja… Msaada wako utatoka wapi wakati wa shida? Karibu sana. Katika hali ya kawaida najua hii wengi wanayo unapopata tatizo la kifedha leo ni nani wa kwanza kumfikiria wa kukupatia fedha…
Leo Ndio Yako…
Habari ndugu msomaji wa makala zetu. Ni matumaini yangu unaendelea vyema na mapambano ya maisha. Tunamshukuru Mungu tunapokea ujumbe kwenu kua makala hizi zinafundisha. Tutaendelea kufanya hivyo kwa utukufu wa Mungu. Leo ndio yako huna siku nyingine uliyonamatumaini nayo zaidi ya leo. Kwa kama kuna jambo umeliweka kwenye ratiba ya leo lifanye kwa bidii zote…
Hakikisha Siku haipiti hujafanya haya…..
Habari za leo ndugu msomaji wa blog yetu. Ni matumaini yangu unaendelea vizuri katika maisha yako. Tunakuombea Mungu ufanikiwe. Leo tunangalia vitu vya kufanya ili uweze kuendelea kufanya mambo na ufanikiwe ” ISIPITE SIKU HATA MOJA HUJAONGEZA THAMANI YAKO” Katika maisha yako jitahidi siku nzima isipite hujafanya mambo haya yaani ili kuongeza thamani yako kwako…
Ukiondoka leo unaacha alama gani duniani?
Habari ndugu msomaji natumaini u mzima wa afya na karibu sana. Leo tunaendelea kujifunza pamoja topic ya leo inasema asikudanganye kua muda bado upo. Maisha ya sasa yamekua mafupi sana watu wanapoteza maisha kila siku tunabaki kujiuliza lini itakua ni mimi. Leo ninakwenda kukueleza kua acha sasa kujiuliza lini utaondoka bali anza kufanya maandalizi ya…
UNAJUA NI KWA NINI UMESHINDWA? SOMA HAPA
“UNAJUA KWANINI UMESHINDWA” Habari ya leo msomaji wetu. Tunashukuru kwa kuendelea kututia moyo kwa kusoma pamoja nasi. Ubarikiwe sana. Leo tuna jifunza “unajua kwanini umeshindwa?” Unajua kwa nini biashara ulioianza ulishindwa? Kwanini kipaji chako umeshindwa kukiendeleza? Kwanini ulitamani sana kufanya jambo fulani zuri lakini limeshindikana? Kwanza kabisa kama hujalifanya hilo jambo unalozani umeshindwa basi ujue…