FANYA HAYA USONGE MBELE KIBIASHARA

Unapohamia kwenye jengo jipya tunaweza kusema biashara yako imekua lakini ukweli halisi sio huo,  biashara haikui kwa wewe kuhamia kwenye jengo kubwa au kubadili usafiri.  Leo tutakwenda kuona jinsi gani unavyoweza kukuza biashara yako. Kuna aina mbili za kufanya biashara yako ikue. 1. Idadi ya wateja kuongezekaTuseme mwaka jana ulikua unahudumia wateja 50 na mwaka…

Ifanye biashara yako iwe ya kiteknolojia.

Habari ndugu msomaji wetu ni wakati mwingine wa kupeana mbinu nzuri juu ya kuboresha biashara zetu kwa njia ya mtandao, leo tunaangalia jinsi ya kubadili biashra zetu kua za kiteknolojia. Kama tunavyoona mabadiliko makubwa kwenye upande wa teknolojia kila siku mambo mapya yanatokea ni wakati wako sasa na wewe mjasiriamali kubadilika la sivyo utaachwa nyuma…

Hatuna usalama

Sitaacha kuirudia kila wakati hii sana… Tunatafuta pesa kwa bidii sana, tunatengeza na kugundua vitu vizuri sana ili tuache alama duniani lakini tunasahau kutengeneza watu wazuri wa kufaidi tutakavyoviacha. Tumewasahau vijana na watoto wengi Wanapotea kwenye ulevi, uvutaji bangi madawa ya kulevya, ngono zisizo salama, n.k ukimuona mwanao yupo salama ukapumzika unakosea sana kuna mambo…

Fungua hizi njia kwanza ndio utaweza kupita

Fungua hizi njia kwanza ndio utaweza kupita Tangaza msamaha Tangaza msamaha kwa waliokutendea mabaya yeyote kwenye maisha yako.Ulitelekezwa ukiwa mtoto mdogo tangaza msamaha leo. Uliumizwa na mpenzi wako uliempenda sana hata ukasema hutakaa umsamehe tangaza msamaha leo. Ulidhulumiwa chochote na mtu mtangazie msamaha leo. Ulifukuzwa kazini kwa hila watangazie msamaha leo. Hakikisha huna kinyongo chochote…

Maisha ni mafupi sana:

Habari za leo ndugu msomaji wetu leo tunaendelea na makala zetu karibu sana na samahani kwa kutokuwekwa kwa makala kwa siku kadhaa. Maisha ni mafupi sana usichezee na muda hata kidogo tumia. Hakikisha una furaha kila siku usisubiri upate pesa ndo ufurahi furahia safari uliyonayo sasa. Usikubali siku ipite bila kujifunza kitu kipya kwa maisha…

Subscribe