Hatua 7 za kujiletea mafanikio na kufikia utajiri.

Habari za leo rafiki yangu unaendelea vyema na mapambano ya maisha? Leo tunakwenda kujifunza Hatua mbalimbali za kuleta mafanikio katika maisha yetu na hadi kufikia utajiri. Kama tunavyojua kila kitu kinaanza kwa vitendo na kisha vitendo hugeuka kua tabia ukiweza kufanya kwa vitendo mambo haya ya leo utaweza kufikia utajiri. Cha muhimu ni kutambua kwamba…

Chagua Kulalamika/Kulaumu au Kuchukua Hatua.

Kwenye jambo lolote baya linalotokea kwenye maisha yako unaweza kuchagua kulalamika au Kuchukua Hatua. Unaweza kuchagua wa kumlaumu, unaweza kujieleza sana jinsi ulivyo sahihi jinsi ambavyo wewe hujakosea au kuamua kukubali yaishe ili mambo mengine yaendelee. Lawama hazibadili chochote. Lawama haziondoi ukweli. Lawama hazifanyi uonekane wewe hukukosea. Hata ukiweza kulalamika vya kutosha hakuna kitakachobadilika. Kama…

Nguvu ya maamuzi tuliyonayo na inayoamua juu ya maisha yetu.

Kila mwanadamu ana maamuzi ya mwisho juu chochote anachokiwaza na maamuzi anayoyachukua. Yaani kama umeamua kuamka saa kumi na moja ni wewe mwenyewe unaamua kutokuamka au la hakuna mtu mwingine anaweza kuja kukufanya uamue kuendelea kulala au kuamka ni wewe unakua na maamuzi yote hata kama mtu atakuja kukuamsha kwa nguvu bado una maamuzi ya…

Umechagua Nini?

Kila kitu kina kinyume chake hapa duniani, kila kitu kina pande mbili wewe umechagua upande upi? Umechagua kua wapi? Kuna Umaskini na Utajiri, kuna furaha na huzuni, wingi na uchache, kukosa na kupata, Kila unachokipitia sasa hivi kina pande mbili na upande uliopo umechagua mwenyewe inawezekana kwa kujua au bila kujua. Kwanini uchague upande mbaya…

#Hujamaliza Kazi.

Kila kitu kina sababu ya kuwepo kwake duniani mpaka leo.  Wewe pia uko duniani kwa sababu  hauko duniani kwa bahati mbaya.  Weqw kupumua leo ni sababu pia yapo mambo yanakupasa uyafanye. Je umeshatambua kwanini upo hai leo? #HujamalizaKazi ndio Hujamaliza kazi uliyotumwa Kuifanya duniani. Na kama bado hujaitambua kazi mimi siweze kukuambia kazi yako rudi…

Subscribe