Iangalie Ndoto Yako.

Wanapokukatisha tamaa usiwaangalie wao Itazame ndoto yako. Unapopitia magumu usiangalie magumu itazame ndoto yako. Unapoona hupati kile unachokitaka kila wakati kila unapofanya vitu mbalimbali itazame ndoto yako. Ukiona biashara haiendi vyema kama unavyopanga itazame ndoto yako. Chochote kigumu unachopitia usikiangalie usiangalie ugumu itazame ndoto yako. Kwanini nakwambia uitazame ndoto yako? Unapoitazama ndoto yako utapata hamasa…

Vitu Vigumu/Kazi Ngumu.

Kuna kazi ngumu au vitu vigumu vya aina mbili vinavyotumia ubongo na vinavyotumia misuli. Ukiniambia nikuchagulie kitu cha kufanya ili ufanikiwe nitakuonyesha kazi au idea ambayo utatumia akili/ubongo wako zaidi kuliko utakavyotumia misuli yako. Vitu vigumu vinavyoyumia ubongo tunasema ndio vina mafanikio kwasababu ni vitafanya ubongo wako ufikiri sawasawa. Vitu vigumu vyenyewe sio vile ambavyo…

#Siri ya Kua Hai Leo 6.

Ni masaa mengine 24 yakwenda kutengeza ndoto zako. Ni masaa mengine 24 yakwenda kuongeza thamani kwa wengine. Ni masaa mengine 24 yakwenda kufanya kile unachokipenda. Ni wakati wako sasa kuamua kwamba unaitumia kila siku vyema ili kufikia yale ambayo umeumbwa ili kuyatimiza. Ni wakati wako sasa wa kwenda kutimiza kusudi la Mungu kukuleta duniani. Ni…

#Siri ya kua hai leo -5; Fanya Uchaguzi na Fanya Maamuzi Vyema.

Maisha yako yanatokana na uchaguzi na maamuzi uliyoyafanyaga na unayoendelea kufanya kila siku. Ni vitu vichache ambavyo havina uchaguzi yaani kama ni kimoja kipo hicho hicho tu. Ukikosea kwenye kuchagua unakua umebakiza nafasi ya maamuzi. Kwenye maamuzi unaweza kuamua kuendelea na ulichokichagua au kuanza upya. Wewe kama kiongozi wa maisha yako mwenyewe unatakiwa ujue unapoelekea…

Subscribe