?How To Live Your Future? ?The greatest enemy of your progress is your last success. ?The past is Danger forget it. It has nothing to do with your future. ? It i impossible to succeed until your future become more important than your past. ? What you did is not important than what you have…
All posts in USIISHIE NJIANI
?USHINDI UNAANZIA HAPA.⚡
Millionaire Mindset Training:?Usizungumze vile ulivyo sasa zungumza vile unavyotaka kua. ?Usijiangalie upo kwenye hali gani sasa hivi na kujidharau angalia ndoto zako na malengo yako makubwa uongeze nguvu. ?Usikatishwe tamaa na watu wanaokwambia haiwezekani kufikia unachokitaka. Kaa mbali na watu hao kwani watakuambukiza upofu wao. ??Usivunjwe moyo na changamoto unazopitia kwani zinakujenga ili uweze kusimama…
Uchaguzi.
Neno Uchaguzi linamaanisha vitu vingi lakini mimi nitazungumzia Uchaguzi wa vitu au Uchaguzi bora katika kuelekea maisha yenye mafanikio. Siku zote kwenye Uchaguzi ili uweze kuchagua kitu kilicho bora lazima vile unavyovichagua viwe vichache.Vikiwa vichache itakusaidia wewe kufikiri vyema na kufanya maamuzi sahihi. Mara nyingi kukiwa na vitu vingi vya kuchagua kunatakiwa kuwe na mchujo…
Maneno Yako Yana Nguvu ya Kuumba.
Maneno yale unayojinenea mara kwa mara yanakwenda kutokea kwenye maisha yako. Angalia hasa hali inayoendelea kwenye maisha yako sasa na maneno ambayo unapenda kuongea kuhusu maisha yako lazima yanaendana. Ukiamka asubuhi na ukaanza kusema leo nimeamka vibaya siku yako itakwenda kua mbaya kweli. Ongea maneno mazuri juu ya maisha yako juu ya siku yako juu…
MAMBO SITA YA MSINGI ANAYOTAKIWA NAYO KIJANA ILI AWEZE KUKUBALIKA KATIKA JAMII
Habari mpendwa na rafiki msomaji wa makala zetu kupitia blog hii. Ni matumaini yangu kuwa unaendelea vizuri katika utendaji wako. Binafsi ninarudisha sifa na utukufu kwa aliye “chanzo” cha mafanikio yetu. Leo ninawiwa kukuletea makala hii, “MAMBO 6 YA MSINGI ANAYOTAKIWA KUWA NAYO KIJANA ILI AKUBALIKE KATIKA JAMII”. Lakini acha nianze kwa kusema hivi, binafsi…
BARAKA ZA MUNGU ZIKUTANGULIE WIKI HII.
Natamka baraka katika kila unalokwenda kulifanya week hii. Matokeo makubwa zaidi katika kila unalolifanya. Inawezekana umepitia ugumu sana kwenye mambo mengine na wakati mwingine ukataka kukata tamaa. Week hii ni ya kwako wewe kwenda kufungua kila lilokwama. Hakuna lisilowezekana pale unapokua na imani. Imani yako ndio itakuwezesha wewe upate chochote unachotaka. Lakini baada ya kua…