Goal setting( Weka Malengo),Kua na malengo na hakikisha kila siku unafanyia kazi malengo yako. Malengo haya yalenge: Roho yako, Uchumi, Familia, Mahusiano, Kujiendeleza binafsi. Discipline( Kua na Nidhamu),Nidhamu hii ni ya kujijengea na kuhakikisha kila siku unafanya yale yanayoleta manufaa kwako na kwa wengine. Watu wengu hua wanashindwa kusonga mbele zaidi na wanabaki pale pale…
All posts in USIISHIE NJIANI
?Millionaire Mindset Training?
?Millionaire Mindset Training?“You are where you are and what you are because of yourself.Everything you are today, or ever will be in the future, is up to you. Your life todayis the sum total result of your choices, decisions and actions up to this point. Youcan create your own future by changing your behaviors. You…
CHAGUA WA KUKUSHAURI
Katika Jambo lolote unalotaka kulifanya kwenye dunia hii. Lazima ukutane na watu wa aina tatu. Hata kama unaenda kuuza nyanya leo hawa watu Lazima uwakute. 1. Ambao hawajawahi kufanya hicho kitu kabisa.Watu hawa wanaweza kukushauri ukafanye au usiende kufanya na watakutolea mifano ya watu walioshindwa au waliofanikiwa. 2. Waliofanya wakashindwa na wameacha.Watu hawa watakushauri watakwambia…
Ukiweza Kupiga hatua hii maisha yako hayatakua ya kawaida.
Katika maisha vipo vitu vingi tunatafuta kila siku. Kwa ajili ya kujifurahisha ni pia kwa malengo tuliyojiwekea. Kuna hatua ambazo ukizifikia maisha yako yanakua ni ya tofauti na wengine. Pale ambapo changamoto zilizokua zinakupa hofu sana ukaweza kuzivuka. Vile vitu ulivyokua unaogopa sana kuvifanya ukivifanya maisha yako yanakua sio ya kawaida tena. Unakua umepiga hatua…
ACHA KUJIFARIJI
Kuna watu hujifariji kua “Mungu ndie ajuae kesho.”Ukweli ni kwamba Mungu sio kesho tu anajua yeye anajua kila kitu hata mwisho. Hata ugonjwa utakao kupata mwezi ujao kwa ulaji mbovu wa leo anajua.Kua na maono, malengo na mipango fanyia kazi kila siku Mungu atakulinda na mabaya yote kutokana na kile unachokifanya.Kama huna maono unafikiri Mungu…
Tumia Nguvu ya ubongo wako kua Tajiri.
Ubongo wako ndio chanzo cha kila kitu kwenye maisha yako.Unavyopanga kichwani ndio itakavyotokea kwenye matendo. Ukijiona huwezi kumiliki gari kuanzia kwenye akili yako ukaanza kuona gari lilivyo ghali huwezi kuweka matendo ya kupata gari. Tengeneza ubongo wako ukuletee mawazo ambayo yatabadilisha vitendo vyako. Usiishie kutaka kua tajiri. Panga kua tajiri na fanya vitendo vya kua…