USITAZAME NYUMA

Ulikotokea hakuna maana kubwa sana kama unapoelekea, haijalishi una historia ya aina gani bado unaweza kuibadilisha leo. Acha kurudi nyuma na kuangalia kule uliwahi kushindwa, maisha yanaweza kubadilika kwa vyovyote vile unavyotaka. Unaweza kutengeneza tena leo haijalishi wiki iliyopita ulikosea kiasi gani kama bado upo hai una nafasi ya kubadilisha  baadae yako. Inawezekana watu wanakusema…

#Kujua Unachokitaka na kukifanyia Kazi

 Ili uweze kua na ndoto,  maono,  malengo,  mipango,  au chochote kile Unachokitaka kwenye maisha yako.  Ni lazima kwanza uanze kujua unataka nini.: Bila kujua unataka nini  utajikuta kila kinachokuja unafanya.Tuna wanafunzi walio maliza form six na wengine watakwenda kumaliza form four: Mara nyingi nimekua naona wengi wanafanya maamuzi tu kwa kile kilicho kirahisi.  Mfano  umepata…

Watu 3 muhimu kua nao kwenye safari ya mafanikio

Tupo kwenye dunia ambayo tulikuta watu na tutawaacha watu. Vyote tulivyovikuta vilianzishwa na binadamu wengine wenye mawazo mema na wenye mawazo mabaya pia. Vitu vingi tunavyovifanya tunaendeleza tulivyovikuta ni mara chache kukuta kitu kipya ambacho hakitegemei mazingira na asili ya tulivyovikuta. Hivyo basi kwa vyovyote vile unahitaji mtu wa kukuongoza au kuku Coach ili ufanikiwe…

Hapa Ndipo Unapokosea.

Haiwezekani wewe unatamani kuja kua Mwimbaji bora wa kimataifa halafu muda wako mwingi ukautumia kufuatilia siasa zaidi. Haiwezekani wewe unatamani kuja kua mfanyabiashara mkubwa halafu muda wako mwingi unafuatilia mpira. Unawajua wachezaji bora kuliko wafanyabiashara bora. Huko ni kupoteza muda tumia muda mwingi zaidi kwenye kile unachotaka kuja kua. Tafuta na fuatilia taarifa nyingi zaidi…

KUJITETEA NA KUTOA SABABU?

?Vitu vizuri mara nyingi hua vinakuja wakati haupo tayari. Utayari unautengeneza wewe mwenyewe. ➿Wengi bila kujua huishia kujitetea na kutoa sababu nyingi za namna ambavyo hawawezi na kujikuta wakipoteza fursa zile au vitu vile. ✅Choose to find a way don’t find an excuse! ? Unaweza ukajitetea sana jinsi ambavyo hali ni ngumu. ?Unaweza ukajitetea sana…

?Kwanini Pesa hazitoshi?

?Kwanini mshahara haukutani? ?Kwanini kipato hakitoshelezi mahitaji? ?Unalipa kwa watu wengi kuliko unavyo lipwa! ?Unawapelekea watu wengi kuliko wewe unavyoletewa pesa! ?Wewe mwajiriwa! Unalipa kodi Serikali kabla hujapokea mshahara! Unalipa bima ya afya kabla mshahara haujakufikia! Unalipa kodi ya nyumba! Unalipa bili ya umeme na maji! Unalipa ada ya mtoto au wadogo zako! Unamlipa muuza…