Fanyia kazi unayojifunza Ukue

“Knowing Is Not Enough; We Must Apply. Wishing Is Not Enough; We Must Do.”- Johann Wolfgang Von Goethe Kujua tu haitoshi lazima tuingize kwenye vitendo yale tunayojifunza na kujua,  kutamani tu haitoshi tuchukue hatua kufikia vile vitu tunavyotamani. Kua na ndoto kubwa haitoshi  inatakiwa ujue kuingia kwenye vitendo, vitendo siku zote ndio vinaleta matokeo. Vikwazo…

Siri ya Unavyoviona haviwezekani.

Mara nyingi tumekua na tabia ya kukimbilia kufanya yale mambo ambayo tunaona ni rahisi kufanyika na pia yanawezekana. Tunajikuta tukikwepa yale mambo magumu yale ambayo yanaonekana hayaendi na kwa ufahamu wa kawaida hayawezekani. Siri kubwa iliyopo ndani ya mambo haya tuyaonayo magumu ni kwamba mambo haya ndio yatakuwezesha wewe utoke  hapo ulipo. Ukiweza kufanya yalisemwa…

#Siri ya Mafanikio

Chochote Unachokitaka kipo ndani yako. Ili uweze kukipata unaanza kwa kuamini.Unapoamini unakua na uhakika.Imani yako itakua kutokana na matendo yako kila siku juu ya kile ukitakacho. Imani ikiwa kubwa zaidi ndio unavyokaribia kufikia  yale unayoyataka. Heshimu na thamini sana kile ulichonacho sasa hivi maana ndio kinakusitiri leo.  Asikudanganye mtu eti uchukie hali uliyonayo sasa. Mimi…

KESHOKUTWA INAKWENDA KUA NJEMA KWAKO

Maneno mengi uliyoambia tangu ukiwa mdogo kwamba hauwezi, haiwezekani kwenu ni maskini, kwenu wote hawajawahi kufaulu. Ukaonyeshwa hata na watu wako wa karibu kama wajomba mashangazi mama wadogo na wakubwa, kaka zako, waliojaribu wakashindwa huwezi kuyaondoa kwa siku moja. Maneno hayo yamejishika katika ufahamu wako hivyo wakati mwingine yanakurudisha nyuma. Kuna wakati unapitia hali ngumu…