FUNGUO.

Funguo kazi yake kuu ni kufungua na kufunga. Popote kwenye vitu vya thamani kunakua kumefungwa na ulinzi wa kutosha. Mmiliki peke yake ndio hua na ufunguo. Yeyote anaengia lazima awe na ruhusa kutoka kwa mmliki wa sehemu hiyo.   Ili uweze kusogea mbele ufungue milango ya fursa na kila aina ya kitu kizuri unachokihitaji unahitaji…

SIKU TULIVU NA JACOB:

 Muda ndio maisha yetu maana ndio thamani ya pekee tuliyonayo kuliko chochote. Unapompa mtu muda wako unakua umempa kitu cha thamani sana kuliko kitu chochote kile. Unakua umemgawia sehemu ya maisha yako. Watu wengi wanashindwa kuthamini muda kwasababu hawajajua thamani yake. Mtu anapotenga muda kwa ajili yako ni sawa na ametoa sehemu ya maisha yake…

Thamani yako Ndio Inakulipa.

Nilikua nazungumza na mchekeshaji mmoja nikawa namuuliza maswali haya; Tunasikia wewe ni tajiri umewezaje kua na pesa wakati unafanya kitu cha kawaida sana cha kuchekesha watu? Akajibu akaniambia; Kadiri watu wanavyocheka ndivyo ninavyotengeneza hela” Nikamuuliza; unafanyaje ili watu waendelee kucheka kila wakati maana wasipocheka hutengenezi pesa! Akaniambia; ili watu wacheke Zaidi naongeza thamani ya vile…

NENO LA LEO

Mambo maovu yote yanayoendelea duniani yanasababishwa na watu wengi kuishi bila kutambua makusudi ya wao kuwepo duniani. Mtu anapozaliwa anakua na uwezo mkubwa sana ndani yake kwa ajili ya kumwezesha kulitimiza kusudi lake na anaposhindwa kuzitumia nguvu hizo Shetani huzitumia. Ndio maana tunaona watu wanakua waovu na wakitenda mambo mabaya yasiyofaa hiyo yote ni nguvu…

NI KITU GANI KINAKUZUIA WEWE USHINDWE KUTOA?

Habari za leo ndugu msomaji. Ni matumaini yangu umemaliza vyema weekend yako. Leo ni jumatatu nyingine tena ambayo tunakwenda kuongeza uzalishaji wetu karibu sana. Jana nilihudhuria kanisani nikakutana na Ushuhuda wa ajabu sana. Mtoto mdogo alieko shule ya msingi aliamua kwenda shule kwa miguu siku zote ili nauli yake akatoe kwa watoto yatima.  Nauli ya…

Tabia ya kujifunza na Kusoma vitabu inahusika katika kukuletea mafanikio.

Habari za leo ndugu. Natumaini unaendelea vyema na kupambania kufikia ndoto yako na maisha bora. Tunaendelea na mfululizo wetu wa Makala za tabia. Kwanini tabia? Maisha ya mwanadamu yanajengwa na tabia ndogo ndogo tulizozitengeneza kila siku huko zamani. Na kwa kawaida kila siku kuna tabia mpya unaanza kuitengeneza polepole iwe kwa kuiga kwa wengine au…