Jipatie Maarifa haya Ndani ya Siri 7

Habari, Jipatie kitabu Siri 7 za Kuwa Hai Leo na ujifunze mambo haya yafuatayo. 1.    Tambua kwanini upo Hai Leo na uweze kutumia nafasi hiyo kutengeneza Historia mpya ndani ya Dunia hii. 2.    Kuna mambo mengi tunayafanya, kupitia Siri hizi utaweza kutambua kwanini unatakiwa umalize ulichokianza. 3.    Kwenye Siri 7 pia utajifunza namna ya kutengeneza…

FUNGUO: TAARIFA.

Habari za siku ya leo Rafiki natumaini unaendelea vyema.Leo kwenye kipengele cha funguo tunaangalia kitu kinaitwa taarifa. Taarifa ni zile habari au maelezo unayoyapokea. Zipo njia mbalimbali za mtu kupokea taarifa kwa kipindi hiki njia zimekua rahisi sana. Kwa kupitia simu yako ya mkononi unaweza kupokea taarifa za aina zote, kwa picha, kwa sauti, au…

Millionaire Mindset Training

Kokote kule utakapo kwenda utakutana na binadamu wenye tabia za tofauti na kuna kitu cha kujifunza kwao.  Wengine watakua wazuri kwako, wengine watakuumiza, wengine hawatajali chochote unachofanya au ulichonacho.  Hiyo ni kawaida ya binadamu hata wewe pia kuna unaowaumiza kwa kujua au Bila kujua.  Kuna unaowafanya wafurahi kwa kujua au bila kujua.  Kuna ambao hujali…

Hakuna wa Kukuzuia

Katika zama hizi za Ulimwengu wa Kiteknolojia mambo mengi sana yamerahisishwa mno. Kwa chochote unachokifanya kama kinahitaji kuwafikia watu njia za kuwafikia zimekua rahisi sana. Kama unatengeneza bidhaa na unataka kuwafikia wateja wengi Zaidi kila kitu unaweza kufanya kwa kupitia kiganja chako. Kama wewe unaimba huhitaji kwenda kuomba redioni tena wapige nyimbo zako unaweza kuzifikisha…