Watu wengi tumekuwa tunatamani sana kupiga hatua katika maisha yetu na kufikia mafanikio. Lakini kumekua na vitu mbalimbali vinaturudisha nyuma na kutuzuia. Inawezekana mwaka huu uliweka malengo na mipango lakini haujakamilisha kwa kiwango kikubwa. Mwaka 2017 unaweza kufanana kabisa na mwaka huu au ukawa ni mwaka ambao utafungua milango kwenye maisha yako. Inategemea tu na…
All posts in USIISHIE NJIANI
Vitu Vya Muhimu Kufanya Mwisho wa Mwaka
Wengi wetu hupenda kuutumia mwezi huu vibaya katika kufuja pesa nyingi kwenye starehe na mwisho huaanza mwezi wa kwanza bila kitu chochote. Wewe kama mwanamafanikio unatakiwa ujue namna ya kufanya ili uweze kuendelea tena mwaka ujao. Simaanishi kwamba uache kufurahia mwisho wa mwaka ila nataka nikwambie safari bado usije ukatumia vyote wakati safari inaendelea. Unaweza…
Juhudi Zitaleta Matokeo.
Kama hutakata tamaa ipo siku matunda ya unachokifanya sasa yatakuja kuonekana. Haijalishi hali uliyonayo sasa endelea kuongeza juhudi, hata kama huna anaekutia moyo au kukupongeza. Ipo siku utayafurahia matunda ya kazi yako. Hakuna jasho linalondoka bure. Usikubali kuachwa wala kurudi nyuma. Najua kuna nyakati ngumu zinafika hadi unajiuliza kama unafanya kitu sahihi kweli? Mbona Matokeo…
Mambo 20 yanayotufanya waafrika tubaki nyuma siku zote.
Habari za Leo Rafiki, Mwanamafanikio na mpambanaji mwenzangu. Ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na safari ya mafanikio. Katika safari hii kujifunza ni kitu cha muhimu sana. Jifunze katika vitu mbalimbali vinavyokuzunguka. Leo tunatazama juu ya mambo 10 yanayotufanya waafrika tubaki nyuma siku zote. 1. Ubinafsi Ubinafsi ni tabia mbaya sana inayofanya uishi maisha yenye majuto…
Matokeo Ya Leo Yalisababishwa, Sababisha ya Kesho Leo.
Habari za Leo Rafiki na Mwanamafanikio mwenzangu. Ni furaha ya kipekee sana kukuona umefika hapa tena kujifunza. Karibu sana tujifunze pamoja Matokeo unayopata leo yanatokana na mambo uliyoyafanya siku zilizopita. Kama una afya bora Leo ulikula vizuri na kujali afya yako kipindi cha nyuma. Hivyo ukitaka kuendelea kuwa na afya bora siku zijazo anza au…
KIBURI CHA MAFANIKIO
Habari za leo Rafiki, natumaini waendelea vyema na safari hii ya mafanikio. Ni muhimu sana kutokukata tamaa kwani huko mbele tuendako yako mazuri mengi sana. Njia zitaendelea kufunguka kuliko ulivyowahi kufikiri. Leo twende tuangalie Kiburi cha Mafanikio. Hii ni hali au tabia ya mtu kuanza kujiona ameshapata kila kitu anachokitaka hivyo kuanza kufanya mambo yasiyofaa. Kiburi…