Being Positive (Kuwa Chanya/Kufikiri Chanya)

Habari ya Asubuhi. Unaendelea Vyema! Mwaka bado haujaisha bado unayo Nafasi ya kuleta mabadiliko kwenye Mwaka huu 2016. Siku chache zilizobaki unaweza kuacha alama. Unaweza kufanya kitu ambacho hautakaa ukisahau. Kuna watu walikua wamekata tamaa wakaniomba Ushauri nikawaambiwa waanze biashara mwezi huu huu. Wasisubiri January. Hivyo hata wewe unaweza kuanza kitu leo na ukafanya maajabu.…

Faida 5 utakazopata ukijiunga na Semina.

Ukiacha Maarifa utakayopata ndani ya semina hii kuna faida zifuatazo. 1. Ushauri na Mwongozo Utajipatia Ushauri na Mwongozo kwa chochote utakachokua unakifanya ndani ya Mwaka 2017 bure kabisa. 2. Utajifunza namna ya Kuacha Tabia zisizofaa zinazokurudisha nyuma kwenye kufikia mafanikio. Hii itakua ni Mwongozo wa Mwaka mzima pamoja na Mazoezi ya kuacha Tabia mbalimbali na…

Hizi ndio Taarifa Zinazopofua Macho yako ya Ndani!

Mwaka 2003 nikiwa darasa la nne nilikua na tabia ya kusoma sana vitabu, magazeti na majarida ya hadithi za mapenzi. Vitabu vingi nilivyokuwa navisoma vilikua vya hadithi mbalimbali za kutisha na mapenzi. Magazeti  niliyokuwa nasoma yalikua ya siasa na ya udaku. Pia niliweza kusoma biblia agano la kale vitabu karibia vyote. Embu jiulize darasa la…

Kitu cha kwanza na Muhimu kukijua wewe Kama Mwanaume

Kama Hujui unapokwenda usiwaambie watu wakufuate. Hii ni pamoja na mke yaani usitafute mke kwanza kama hujajua unapokwenda. Mwanamke mwenye akili anafata maono yako,  sio pesa zako, sio umaarufu wako. Mwanamke anaekufuata kwasababu ya vitu vinavyoonekana kwa nje mara inakuaga ni tamaa ila sio mara zote “Marehemu Dr.  Munroe katika moja ya Mafundisho yake anasema…

Semina Kubwa Itakayobadili Muelekeo wa Maisha yako mwaka 2017

Habari za Leo Rafiki yangu Ni matumaini yangu unaendelea vyema. Kama tunavyojua kila mwaka unapoanza watu huuanza katika shamrashamra sana lakini ifikapo katikati watu husahahu kila kitu na kurudi katika maisha waliyozoea. Mwaka 2017 natamani uwe ni mwaka wa tofauti kwenye Maisha yangu na Yako. Hivyo basi wewe Rafiki yangu  Nimeamua kukuandalia semina kubwa sana ambayo itayafanya…

Maisha yako Yatakuwa Magumu zaidi Mwaka 2017 kama Bado una Tabia Hizi…

Mwaka 2016 ndio unafikia ukingoni huku asilimia kubwa ya watu wakiendelea kulalamika hali ni ngumu. Ukweli Inawezekana ni ngumu sana na itazidi kuwa ngumu zaidi Mwaka 2017 endapo hatutaamua kuchukua hatua.Haya ni mambo ya muhimu sana ya kubadilisha la sivyo hali itakua ngumu zaidi kwako. 1. Kutokutendea kazi unayojifunza.Umejifunza Mambo mengi, umehamasika vya kutosha,  usipochukua…