JINSI YA KUMALIZA MWAKA KWA USHINDI.

Habari za Leo mwanamafanikio?  Siku kuu imekwenda vyema kwangu. Natumaini na kwako pia. Ni siku chache zimebaki katika mwaka  lakini tukiweza kuzitumia vyema tutaacha alama ndani ya mwaka huu.   Usikubali kabisa kutumia muda huu hovyo Tafuta jambo dogo tu la tofauti ulifanye Zikiwa zimebaki takribani siku nne peke yake tumalize mwaka huu napenda kukwambia…

UNAPOPITIA MAGUMU….

Unapopitia Magumu katika maisha mara zote tunatafuta kugundua chanzo na kutatua ugumu ule. Kuna *Siri* inakua imejificha na huwezi kugundua tatizo lipo wapi. Ili uweze kutatua tatizo kwanza unatakiwa utambue *Siri*. Ukiweza kugundua *Siri* utaweza kuishi maisha yenye furaha sana hapa duniani. Hata ukipitia magumu utaweza kuzifuata *Siri* na ukaweza kutatua matatizo yako. Leo ninataka…

Safari Yangu Ilianzia Hapa…

Habari za leo Rafiki yangu. Natumaini unaendelea vyema katika kupambana na maisha. Leo ninataka ufahamu jinsi mimi nilivyoanza safari hii ninayoendelea nayo. Safari ya kufundisha na kuhamasisha wengine wafikie mafanikio. Mwaka 2010 nilikua na marafiki zangu wawili Samweli Lyatuu na Steven Mshiu marafiki hawa tulikua tunasali pamoja na wakati mwingine tunalala pamoja. Mara nyingi ukiwauliza…

Usijidanganye Ukweli ni Huu.

Kama Mwaka 2017  hutakubali kubadilika huwezi kuona mabadiliko chanya zaidi utaona mabadiliko hasi yaani maisha yataendelea kuwa mabovu zaidi. Kama Mwaka 2017 hutaamua kuanza kujisomea vitabu akili yako haiwezi kukuletea matokeo bora. Lazima ukubali Kuwekeza kwenye akili yako jaza ufahamu ambao utakupa mwanga kule uendako. Kama wewe upo hapa duniani unawaza kujenga nyumba na kununua…

Unakwenda Wapi?

Mwaka 2016 Inawezekana umekuonyesha picha ya unapokwenda au umekufanya ukapoteza kabisa mwelekeo wako.Leo Rafiki nataka ujiulize hili swali, Unakwenda wapi?  Embu tafakari ulipotoka miaka yote hadi ulipo sasa!  Unaelekea wapi?  Je unafikia ndoto yako au unapotea? Najua kabisa na ninaelewa kwamba yako Mambo mengi unapitia ya maisha. Mengine ni Magumu sana yanaumiza moyo. Lakini ni…