#SiriZaKuaHaiLeo:1. Ni nafasi ya kubadilisha.

Ni nafasi nyingine ya kutubia makosa yako. Ni nafasi nyingine ya kufanya upya kwa umakini pale ulipokosea jana. Ni nafasi nyingine ya kufanya uchaguzi upya. Yako mambo mengi tumechagua jana kwa makosa mengine yana uwezekano wa kuchagua upya leo ndio wakati wake. Ni nafasi nyingine ya kipatana na uliowakosea. Inawezekana jana umekwazana na watu leo…

Walioshindwa.

Walioshindwa jambo na wakaliacha kabisa bila kurudia au kujua kwamba wao wanahusika vipi katika kushindwa kule, wana maelezo ya kutosha kukushawishi na wewe kwa nini utashindwa. Jihadhari sanaa na watu hawa maana wana uwezo mkubwa wa kuondoa hamasa yako juu ya jambo unalotaka kuliendea. Waelewe hivi: Walishindwa kwasababu ya uelewa wao mdogo juu ya jambo…

UNAHITAJI WATU.

Mwandishi mmoja wa vitabu anaejulikana kwa jina la Zig Ziglar Alisema “To get what you want you must help enough people to get what they want”  yaani kupata chochote unachotaka unahitaji kuwasaidia watu kupata vile wanavyotaka. Akiwa na maana kwamba kile unachokifanya kiwe kinagusa maisha ya wengine. Kama biashara unayoifanya haigusi maisha ya watu wengine…

Pale unapohisi.

Pale unapojihisi kukata tamaa ndio sehemu hasa ya kuongeza bidii maana ni matokeo yanavyokwenda kuonekana. Pale unapojihisi kuchoka ndio wakati wa kuinuka tena kwani vita ndio imeanza mapambano ndio yamechanganya uchague kurudi nyuma upotee kabisa au upambane hadi mwisho. Pale marafiki zako wanapokucheka na kukwambia umepotea ndio wakati hasa wa kuonyesha unajiamini na unakiamini vyema…

Nguvu ya Ulimi.

Wanasema Ulimi ni kiungo kidogo sana lakini kinaweza kufanya mambo makubwa. Ulimi unaweza kuvunja ndoa yako. Ulimi unaweza kukukosanisha na ndugu jamaa na marafiki. Ulimi unaweza kukupeleka jela. Ulimi unaweza kujenga mahusiano mazuri na watu. Ulimi unaweza kukupatia kazi nzuri sana. Ulimi unaweza kubadilisha maisha yako Leo. Unatumiaje kiungo hiki ili kupata manufaa zaidi kwenye…

Subscribe