Sifa 5 za Mtu Anaelekea Kwenye Mafanikio Makubwa.

Habari za Leo Rafiki na Mwanamafanikio mwenzangu. Ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na afya pamoja na safari hii ya mafanikio. Siku zote napenda kukwambia kamwe usikate tamaa. Haijalishi ni magumu kiasi gani unapitia sasa. Ipo siku Matokeo ya unachokifanya yatakuja kuonekana. Leo tujifunze juu ya Sifa tano ambazo zinaonyesha mtu huyu anaelekea Kwenye Mafanikio…

USITAZAME LEO

Leo vita ni vingi sana, Leo hakuna mavuno bado. Leo wanakusema wengi Leo inaonekana kama ni ngumu sana. Leo inaonekana kama utakwenda kushindwa. Leo inakatisha tamaa sana. Leo unatoka jasho jingi sana. Leo unatumia nguvu nyingi sana.   Ukitazama leo utakata tamaa Ukitazama leo utarudi nyuma. Ukitazama leo utayaona magumu. Itazame ndoto yako. Yatazame mazao…

#USIISHIE_NJIANI.: Focus & Concentration

Habari rafiki, Umeanzaje siku yako? Umeshajifunza kitu chochote leo? Umefanya mazoezi? Umesoma kitabu? Mambo madogo madogo tunayofanya kila siku ndio yanatuletea ushindi mkubwa. Hivyo ni muhimu sana unapoyafanya uyafanye kwa umakini na ubora wa hali ya juu. Ili usiishie njia unaweza kutumia mbinu ya kukomaa kwenye jambo uliloamua kilifanya hadi upate matokeo au ufikie mwisho. …

#USIISHIE NJIANI: HAKUNA NJIA MOJA AMBAYO NI SAHIHI.

Habari rafiki, Umeanzaje siku yako? Umefanya mazoezi? Umesoma kitabu? Ukweli ambao unaweza kuwa hupendi kuusikia ni huu, hakuna njia moja ambayo ni sahihi ukiifanya lazima ufanikiwe. Hakuna biashara ambayo ndio sahihi lazima ukiifanya ufanikiwe. Kila biashara kuna waliofanikiwa Zaidi, wa kawaida na waliofeli na wengine wanajuta kabisa kufanya biashara hiyo. Hivyo rafiki yangu usikae mahali…

HII NDIO TABIA ITAKAYOKUFANYA UWE MASIKINI SIKU ZOTE.

Habari za leo rafiki. Naamini umeanza siku yako vyema kabisa ili kuongeza hatua kuifikia ndoto yako. Vile unavyoanza siku yako ndio itakavyokuwa. Ukianza kwa kukasirika siku yako itakuwa hivyo. Ukianza kwa ushindi na furaha tele siku yako itakuletea furaha na ushindi. Moja ya tabia ambayo naipigia kelele kila wakati kwamba haifai kwenye maisha yetu ni…

MAMBO 20 UNAYOPASWA KUYAFAHAMU KIJANA MWENYE UMRI KATI YA 20-30.

Habari rafiki na msomaji wa blogu hii. Jumapili yako imekwendaje? Leo tunakutana tena katika kona hii ya kujifunza. Nimekuandalia mambo 20 ambayo unapaswa kuyafahamu wewe kijana. Jifunze na uyafanyie kazi. Usisahau kujiunga na blog hii ili uendelee kujifuza Zaidi. Kwanza tambua kwamba miaka 15 ijayo utakuwa na watoto ambao watakuwa wanakulaumu na kukulalamikia kwa hatua…