Unapokuja na sababu ya kwamba kinachokuzuia ni kukosa mtaji unakuwa umeizuia akili yako haki yake ya msingi kabisa ya kufikiri. Kwenye mazingira uliyopo kama una watu kumi tu wanaokujua na wewe unawajua hao wangetosha kuwa wateja wako wa kwanza kwenye biashara yako mpya. Moja; Kama watu hao kumi kuna kitu cha aina moja wanatumia labda…
All posts in KONA YA BIASHARA
KONA YA BIASHARA: Epuka Tabia Hii
Jambo Moja unalopaswa kukumbuka kila wakati unapokuwa kwenye biashara yako ni hili EPUKA MAZOEA. Mazoea ni sumu mbaya sana ambayo inaweza kukusababisha ukaanza kumtafuta aliekuloga kumbe chanzo ni mazoea. Unapoanza biashara unakuwa na hamasa kubwa unawahudumia watu vizuri sana sasa shida inakuja pale unapokuwa tayari umeshasimama. Biashara inaenda vizuri umepata wateja wa kutosha na biashara…
KONA YA BIASHARA: Makosa 3 Unayofanya na Yataua Biashara yako.
Leo kwenye kona ya biashara tunaangalia makossa matatu ambayo unafanya na yataua biashara yako siku si nyingi. Kama kawaida ni mambo madogo sana ambayo yanaweza kusababisha ukapoteza kila ulichonacho hasa kama yatakuja taratibu na kuleta madhara bila ya wewe kujua na ukaja kutambua madhara yakiwa makubwa kabisa. Kuna baadhi ya makossa unayafanya yanakuwa kama kansa…
KONA YA BIASHARA: Hakuna Uhakika 100%.
Katika mambo tunayofanya kila siku kwenye Maisha yetu pamoja na kuwa na imani kubwa, hamasa na matarajio makubwa hakuna mwenye uhakika asilimia mia moja kwamba mambo yatakuwa sawa. Ndio mambo yanaweza kuwa vile ulivyopanga lakini sio asilimia mia. Unachopaswa kujua ni kwamba kwa kila maamuzi unayofanya ni hatari unachukua hivyo tarajia chochote kile kinaweza kutokea.…
KONA YA BIASHARA: Ongezeka Wewe Kwanza.
Kwenye biashara nyingi unaweza kukutana na watu wanalalamika biashara zao hazikui, hakuna kinachoongezeka hali ni ile kwa muda mrefu. Ukija kuchunguza Zaidi unakutana na shida nyingine kwamba mmiliki wa biashara mwenyewe hajakua. Unachotakiwa kufahamu ni kwamba biashara haiwezi kukua inakuzidi wewe. Kile kiwango cha ukuaji wa biashara yako ni kiwango chako cha ukuaji. Ule uwezo…
KONA YA BIASHARA: Neno Samahani Linavyombakisha Mteja.
Kinachofanya ubaki kwenye soko sio jina lako kubwa ulilonalo, sio bidhaa yako nzuri peke yake. Kuna vitu vya ziada lazima ufanye ili uendelee kubaki. Bahati mbaya sana usipofanya yupo mwenzako ana biashara kama yako atafanya na atakuchukulia wateja wako. Bahati mbaya sana kama unafikiri huna mshindani bado hata kesho unaweza kumuona mtu mwingine amekuja hapo…