HATUA YA 10; Tafuta sababu ya Tatizo

Kila kinachotokea Maishano mwako kinatokea Kwasababu.  Changamoto yeyote unayopitia ipo Kwasababu. Ugumu wa Maisha unaopitia upo Kwasababu. Ukosefu wa pesa ulionao upo Kwasababu. Kuachwa na umpendae imetokea Kwasababu. Kudharauliwa kumetokea Kwasababu. Kusemwa kunatokea Kwasababu. Hakuna kinachotokea kwa Bahati mbaya hata siku moja. Kuna sababu nyuma ya lolote linalotokea. Umefanikiwa Kwasababu ulifanya kazi kwa bidii. Badala…

HATUA YA 8; UADILIFU

Uadilifu ni kitu cha muhimu sana kwenye Maisha yetu ili kutuwezesha kujenga historia nzuri. Watu wengi wanakosa uadilifu ndio maana biashara zao zinakufa baada ya muda mfupi. Uadilifu ni sifa ambayo itakufungulia milango mingi ya fursa huko mbeleni. Kama utakosa uadilifu katika hatua hizi za mwanzo unaanza kuonyesha picha ya wewe ulivyo na  huko mbeleni…

HATUA YA 7; Kurudia Rudia.

Kabla hujasema Haiwezekani umeshajaribu mara ngapi?  Kabla hujaamua kuacha umefanya kwa Kiwango cha kuridhisha? Umerudia mara ngapi? Hivi unajua kila mbegu ina muda wake wa kukaa chini? Kama mwaka jana ulipanda mahindi na hukuvuna kabisa Kwasababu ya uhaba wa mvua haiwezi kuwa mwisho wa kupanda mwaka huu.  Utatafuta namna nyingine. Tabia ya Kurudia Rudia anatakiwa…

HATUA YA 6; Nidhamu

Nidhamu ndio kitu cha muhimu sana katika safari yetu ya Mafanikio. Nidhamu ni pale unapoamua kufanya kitu iwe unataka au hutaki. Kama umesema utasoma vitabu viwili kwa mwezi usome kwa namna yeyote ile. Nidhamu ndio inaweza kukufanya ujijengee tabia mbalimbali nzuri za Mafanikio. Kama mimi nilipoamua kuandika makala hizi za kukutia moyo na kukushauri. Haijalishi…