?Vitu vizuri mara nyingi hua vinakuja wakati haupo tayari. Utayari unautengeneza wewe mwenyewe.
āæWengi bila kujua huishia kujitetea na kutoa sababu nyingi za namna ambavyo hawawezi na kujikuta wakipoteza fursa zile au vitu vile.
ā Choose to find a way don’t find an excuse!
? Unaweza ukajitetea sana jinsi ambavyo hali ni ngumu.
?Unaweza ukajitetea sana jinsi ambavyo huwezi kufikia malengo na ndoto zako lakini ukweli unabaki kwamba hizo sababu na kujitetea hakukubadilishii hali uliyonayo.
? Uchumi umekua mgumu sana unaweza kutumia hiyo kama sababu ya kujitetea au kama fursa ya kutafuta suluhisho.
ā¹ Hata Mungu hataki watu wanaojitetea na kutoa sababu kwanini hawawezi na kwanini wamekosea. Kaa kwenye nafasi yako utatue matatizo yako.
?Ifanye akili yako ifikiri. Akili ikishindwa kutumika vyema itatumika vibaya.
#Jacob_Mushi
#+255654726668
Discover more from Jacob Mushi
Subscribe to get the latest posts sent to your email.