Umeshawahi kuangalia mashindano yoyote? Au sherehe za ugawaji wa tunzo?/ Bai kama umewahi kuangalia kuna kitu ambacho kinajirudia kwa watu wote wanaoshinda. Huwa wanatoa insha ndefu na kutaja majina ya watu waliowasaidia kufika hapo walipo, na wakati mwingine huwa wakilia kwa furaha ya jinsi hao watu walivyohusika katika ushindi wao wa hiyo tunzo au hayo…
All posts tagged mafanikio
HATUA YA 325: Ukisikia Biashara Inalipa Sana…
Imekuwa ni kawaida sana kusikia watu wanasema biashara fulani inalipa sana au fursa Fulani ukifanya lazima utoke. Ndio inawezekana ni kweli ukifanya utatoka, mfano ni msimu ambao mahindi ya kuchoma yanahitajika sana mjini halafu hayapo. Ukiingia kwenye hiyo fursa na ukaweza kuyapata mahindi kwa bei rahisi ukaja kuyauza kwa bei ghali unajikuta umepata pesa ya…
HATUA YA 324: Hakuna Anaejali, Kuliko Unavyotakiwa Kujali.
Ulishawahi kufanya jambo halafu matarajio yako yalikuwa ni watu wakuzungumzie au wakujali sana lakini ukaja kukuta hakuna hata anaehangaika na wewe? Hii inatokana na pale unapofanya jambo ili uonekane au usifiwe na mwisho wa siku unakuja kugundua kwamba wale ambao unawafanyia wala hawakufikirii. Usije ukapoteza muda wako kufanya vitu ili upate sifa Fulani, au uonekane…
#HEKIMA YA LEO: Kubali kufundishwa
Ukijifanya unajua, unakuwa mpumbavu. Maana kujifunza ni kama pumzi ukishavuta lazima utoe iliyochafuka kisha uvute tena. Ukikubali kuwa mwanafunzi ndio utaona sehemu nyingi ulizokuwa unakosea. Pia Utagundua kwamba bado kuna mambo mengi hujui. Ukikubali kufundishwa unatakiwa ukubali pia kukosolewa. Unapokuwa na Mwalimu wako akakwambia hapo umefanya vibaya kubali usichukie ili uweze kujifunza zaidi. Wanadamu tunapenda…
HATUA YA 323: Hii Ndio Sababu ya Wengi Kukosa furaha na Kutotosheka.
Kama kila kiumbe hai kitaweza kufuata vile kilivyotakiwa kuishi kila kiumbe kitatosheka. Mwanadamu ndie kiumbe ambaye anaongoza kwa kutokutosheka hapa duniani. Kutokutosheka ni kile kitendo cha mtu kuacha kutazama vile ambavyo tayari amebarikiwa na kuangalia Zaidi vile ambavyo yeye hana ila wengine wanavyo. Usiache kutembelea Hapa Ujipatie Vitabu Bora vya Mafanikio na Biashara https://jacobmushi.co.tz/patavitabu/ Kama umewahi…
#HEKIMA YA LEO: Tafuta Kawaida Nyingine Kila Wakati.
Bonyeza hapa upate offa ya Vitabu Bora Mwezi April. https://jacobmushi.co.tz/offa-offa-offa-ya-vitabu-bora-mwezi-april/ Tafuta kawaida nyingine kabla hiyo uliyoipata hujaizoea. Mwanzoni unaweza kuona kuna ugumu wa kutimiza jambo Fulani lakini ukishalitimiza unaanza kugundua kumbe ilikuwa ni hivi. Mtoto anapoweza kutambaa hatakiwi kubakia kwenye kutambaa yaani akishazoea tu kutambaa basi anatakiwa aanze kujifunza kusimama na kisha kutembea na kukimbia…
BARUA YA WAZI KWA WOTE WANAOISHI BILA YA MZAZI MMOJA AU WOTE.
Habari Rafiki yangu, leo tena nimeandika barua hii maalumu kwa watu wote wasio na wazazi na pia wenye mzazi mmoja. Ni kwa ajili ya kukutia moyo ili uweze kusonga mbele na kutimiza Ndoto yako. Unaweza kutuma Makala hii kwa Rafiki yako ambaye unafikiri akiisoma itamtia moyo na ataweza kusonga mbele. Kwa waliopoteza wazazi kwasababu mbalimbali,…
HATUA YA 311: Mtazamo wa Kuwa Juu Wengine Chini.
Huwezi kuishi kwa furaha na Amani duniani kama una mtazamo wa kuwakandamiza wengine ili wewe uonekane upo juu. Kuna mtazamo ambao wengi wanao na wamekuwa wakiamini kwamba ili uwe juu lazima wengine wawe chini. Ili uwe Tajiri lazima wengine wawe maskini, ili uwe na nguvu lazima wengine wawe dhaifu, ili uwe na umaarufu lazima wengine…
#HEKIMA YA JIONI: Shuka Chini.
Kuna nyakati ukitaka kupanda juu Zaidi ya wengine lazima ukubali kushuka chini. Unakubali kuonekana mtumwa kwa siku chache ili uweze kupata yale ambayo yatafanya Maisha yako ya badae yabadilike kabisa. Kushuka chini na kunyenyekea haimaniishi ufanye mambo ya hovyo ambayo yanaondoa utu wako bali ni ukubali kufanya mambo halali haijalishi yanaonekana ni ya hadhi ya…
HATUA YA 304: Usipoacha Tabia Hii..
Wakati unaendelea kulalamika na kutoa sababu nyingi za kujitetea kwa hali uliyonayo sasa hivi: Bado una muda mwingi wa kutumia simu yako kuperuzi kila kinachoendelea mitandaoni. Bado una muda wa kutazama tamthilia ndefu kwa masaa kadhaa. Bado una muda wa kukaa sehemu na ukapoteza muda ukiwasema watu na serikali jinsi ambavyo haijakufanyia vizuri. Bado…