Comments on: 415; Huwezi Kuwa Kamili Jikubali Ulivyo.

By: Jacob Mushi
In reply to Hasheem.

Karibu sana Rafiki Yangu

By: Hasheem
Asante sana kwa sms zako nzuri zenye mafundisho mengi sana

By: Jacob Mushi
In reply to agnes.

Pole sana dada Agnes kwa changamoto hiyo kubwa sana. Kwanza naamini kwa kupitia hiyo changamoto yapo mengi sana umejifunza na yatakuwezesha uendelee kuwa bora zaidi.

Usikate tamaa ya maisha anza upya, andaeni mpango wa kupunguza hayo madeni ambayo yametokea ili mrudi upya kuendelea na maisha. Kuna funzo Kubwa mmepata katika mapito hayo. Kikubwa ni kumshukuru Mungu kwasababu mpo hai na mmeweza kuvuka majanga hayo.

By: agnes
asante sana mwalimu wangu mzuri Jacob Mushi kiukweli ninapitia mengi nashukuru kila nikisoma post zako zinafanya kazi ya kunisimamisha kila dakika,

kaka nimepitia magumu sana mwezi wa kumi na mbili natamani uishi nianze upya hapa nilipo sina hata simu yakuweza kusoma post zako huko fb wala inst kutokana na watu kuniibia simu zangu pamoja na kiasi cha pesa shilingi laki tano na baada ya kama siku nne kupita tena akaja kijana tunae mfahamu kumbe anafanya biashara amzao ni haramu kwakua hatukujua tulimkaibisha na baada ya hapo wakaja kumshika askari na hao askari walishindwa kumshika mtuhumiwa na baadae mume wangu akaingizwa katika matatizo ambayo yalihitaji pesa ya shilingi milion 10 kwani walisema watamfunga miaka 30 na kwakua yule kijana aliacha hadi kithibitisho katika gari yetu basi nilihangaika sana kuipata pesa mpaka nikafika hatua niseme niuze gari lakini siku ilofwata nikaomba mkopo katika ofisi nayofanyia na waliweza kunipa pesa kiasi cha shilingi milion tatu na moja nikaazima sehemu nyingine so nilipa hao askari kiasi cha shilingi milion nne kasoro laki mbili na wakamwachia mume wangu,

nashukru tunauhai tutahangaika kusonga mbele ila mapito ya ulimwengu ni mengi ila kaka nakuhakikishia sijakata tamaa namwomba tu mungu anisaidie sana.

ahsante sana

By: Jacob Mushi
In reply to Sarah.

Ubarikiwe sana na Karibu

By: Sarah
Asante kwa kutupa nguvu ya kusimama imara